Mimba za kuzimu

.

Jr
 
Mwenyezi Mungu atusaidie kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Jr.ila ungefunguka maana inaelekea kuna kamfano unako live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waganga ambao product ya kazi zao ni mtu kuzaa albino. Umewahi kusikia hili?
 
Mshana ana sifa zote za kuwa mzee wa kanisa.
 
Mmh.. Sijakupata vema hapa
Mganga mmoja huko Buguruni. Akina mama wengi waliomwendea walipata watoto lakini albino in almost the cases. Personally, namjua kijana mmoja mtu wa IT yupo mjini kwa wahindi baada ya kuhangaika mno aliishia huko na kupata albino
 
Mmh.... Nitataka kufika kwake tafadhali... Naomba direction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…