Mimba za kuzimu

Mmh hii ndio naisikia leo ila siwezi kupingana nayo kwakuwa najua utajiri uliopo kwenye tiba za asili
 
We Mshana sio sifa kujifanya kuongelea mambo ya UCHAWI na USHIRIKINA kwenye mitandao ya jamii kwani kufanya hivyo ni KUTHIBITISHIA jamii kuwa UCHAWI na USHIRIKINA upo hapa Duniani hakuna UPUMBAVU huo weweeeeeee.
Unaumri gani mkuu?
 

Kitu chochote kisicho katika sheria za uhalisia, "natural laws" huwa si halisia na mara zote huwa na mwisho mbaya, shetani huwa ni mshindi siku zote. Na anashinda kwa sababu tumemruhusu. Upractice wa hayo mambo hayajawahi kumuacha mtu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…