Mimba za bahati mbaya

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,324
Reaction score
6,657
Jamani wadada mtuambie siku ile ulipopewa mimba tena bado ukiwa shuleni na kale kaboifriend kako mtiti ulikuaje nyumbani? Hahaaaaa! Mtoto anaendeleaje? Vipi mtoto anaishi kwa nani saizi, kwa bibi au kwako?

Na wale wazee wa kukataa mimba mpo? Vipi mnawahudumia lakini wasichana zenu mliowazalisha?

Ogopa sana kitu kinaitwa mimba ya bahati mbaya maana kuna binti mmoja nataka nimtie mimba kilazima mwaka huu.

Tiririkeni jamani uzi wenu huu hahaaaa! Kuna b
 
Fyatueni tu elimu bure serikali ya awamu hii
 
Hiyo unayotaka kumpa huyo binti itakua ya lazima sio ya bahati mbaya
 
nani kakwambia kuna mimba za baati mbaya?

Ukipanda Maharagwe usitarajie kuvuna mahindi.
 
Ukimtia hiyo mimba please usiikatae hata kama dada hajapanga haitoumiza.😀😀​
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…