SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
- Thread starter
- #61
ni kawaida mkuu SnowBall una bahati ya kipekee
huyo atazaa mtoto wa kike..
nami ilinitokea nikiwa nasoma postgraduate hapo bongo dada mmoja alinipenda sana
darasani lazima tukae wote na nisipofika siku hiyo nae haiingii darasani
classmates walijua ni wife wangu kwani ni wiki ya mwanzo tu tuanze kozi ndio alianza
alikuwa hali kitu hadi nifike nimchukulie matunda au mishikaki canteen na ndizi roast..
mumewe walipigwa marufuku kumfuata chuoni,bahati nzuri mume wake alielewa
Hivo nkawa nampeleka ilipo ofisi ya mumewe huwa anamsubiri ili waende wote home
mume wake akawa anaitania mimi ndio mhusika wa hiyo mimba iweje inipende vile
nkambashiria atazaa mtoto wa kike na kweli akajifungua mtoto wa kike
kwa sasa tuko mabest wa siku nyingi ingawa tuko mbali....inatokea ni kawaida.
Ndo kinachonikuta bro.
Ahsante kwa kunipa moyo.
Manake nshaanza kuona ofc chungu