Mi nimewahi sikia haya
but labda kuna mengine
with women huwezi jua ni mimba tu au kapata sababu......
just wait and see.....
Nakumbuka mimi nilikuwa siwezi nywea maji glass zangu, naenda kwa jirani mmoja nanywea zake za bati, halafu nikawa na nyumba nyingine wananipikia dagaa chukuchuku, limao na chumvi tu na nyumba nyingine naangalia movie za kinigeria. Kwangu nilikuwa nakula nyanya tu. Halafu nilimchukia baba wa mtoto, baba yangu mzazi na boss wangu ingawa mkewe nilimpenda.

Hakuna cha mimba wala nini wanawake wanatakiwa waache kusingizia mimba kwa kila kitu. Uongo mtupu. Mkemee kabla mwenye mtoto hajakushutumu kuwa mimba sio yake.
lmao.Nakumbuka mimi nilikuwa siwezi nywea maji glass zangu, naenda kwa jirani mmoja nanywea zake za bati, halafu nikawa na nyumba nyingine wananipikia dagaa chukuchuku, limao na chumvi tu na nyumba nyingine naangalia movie za kinigeria. Kwangu nilikuwa nakula nyanya tu. Halafu nilimchukia baba wa mtoto, baba yangu mzazi na boss wangu ingawa mkewe nilimpenda.
wengine wanakula udongo ule hadi basi..
Mie yangu ilikuwa ya kizungu. Lol. Ila ilifika mahali magodoro yote ndani mwangu niliona hayafai. Nilimuomba mpaka dada wa kazi nilale kitandani mqake baada ya kuhama chumbani mwangu na guest room. Nikachoka. Nikalala ukumbini weee mwisho nikahamia kwa ma mkwe.
Finally nikarudi kwangu. I miss the pregnancy woes kwa kweli.
Unamchukia hadi mwenye mimba?
Hebu ngoja niulize...'is it something irresistible'..ama ni Kitu unapenda tu but you can persevere missing it?
sikupi tena mimba ingine lol

It happens tu. Nilihisi juu ya ujauzito wangu kwanza kwa kuchukia castle na nyamachoma ambayo ilikuwa delicacy kwangu back then kabla ya kumiss period. N'a hatrage kwa baba mtoto ilianza right away hadi alishangaa wakati namsindikiza airport.
ingawa some people overdo it hasa anapokuwa n'a craving ya baadhi ya vitu, na wengine ambao haziwasumbui sana basi ndio muda wa kupata chochote au kuget away with anything.
So l guess you will never know for sure.
Mie yangu ilikuwa ya kizungu. Lol. Ila ilifika mahali magodoro yote ndani mwangu niliona hayafai. Nilimuomba mpaka dada wa kazi nilale kitandani mqake baada ya kuhama chumbani mwangu na guest room. Nikachoka. Nikalala ukumbini weee mwisho nikahamia kwa ma mkwe.
Finally nikarudi kwangu. I miss the pregnancy woes kwa kweli.
Ni kitu ambacho unaona ni kawaida yani inatokea na huwezi kuzuia...
Mimba ya mwanangu wa kwanza nilimchukia mume wangu,visa kila.siku hata akiumwa siulizi anaendeleaje wala simsindikizi hosp ila asipoenda na mimi clinic.hatutaongea wiki nzima.mpaka nilianza kufanya mpango niondoke kwenda india bila kumwambia kumbe najifungua dume mwenzie