' Mimba yake Imenipenda'...kuna ukweli hapa???

' Mimba yake Imenipenda'...kuna ukweli hapa???

Pole mkuu ila usione tabu mchukulie kama alivyo,mimi imewahi kunitokea kama mara mbili,nikiwa form 6 kuna dada alikuwa ameolewa na alipokuwa anafanya kazi na nilipokuwa naishi tulikuwa majirani mimba yake ilinipenda mno alikuwa anakuja geto anakula ninachokula,akiniona natoka shule utasika daudi nimenunua parachichi nenda kasonge ugali nakuja,cha ajabu alikuwa anamchukia sana mumewe hapo ndo nilikuwa naogopa nikahisi labda mumewe atajua kuwa mimi ndo natafuna ila haikuwa hivyo maana mumewe alikuwa muelewa sana,akimpa hela mwanamke anakuja kunipa yaani in short tulikuwa kama tuna uhusiano alitamani hata kwenda na mimi shule mwisho wa siku alijifungua mtoto wa kike mume wake alikuja kunishukuru na kunipa pole kwa usumbufu nilioupata ila wanakera sana some time,mvumilie tu usimchukie

Eeeh kumbe waitwa daudi
 
surely, I guess I'll never understand this mysterious
spare me if I have to ask more...we're you able to know that u hated somebody? Or was happening out of your order?
Of course you know when you dont like someone/ something, but what is hard to know is WHY, ndio maana simplest n easiest explaination ni hormanal change.
 
Unamchukia hadi mwenye mimba?
Hebu ngoja niulize...'is it something irresistible'..ama ni Kitu unapenda tu but you can persevere missing it?

My dear SnowBall mi cjawahi beba mimba ila nimekaa na wajawazito hizo tabia ni irresistible yani inatokea tu...mi nlikua na shosti mjamzito chochote mnachopika lazima kuwe na maharage anapondaponda na parachichi,wali anataka ukoko.Zinatokea tu kwa kweli
 
My dear SnowBall mi cjawahi beba mimba ila nimekaa na wajawazito hizo tabia ni irresistible yani inatokea tu...mi nlikua na shosti mjamzito chochote mnachopika lazima kuwe na maharage anapondaponda na parachichi,wali anataka ukoko.Zinatokea tu kwa kweli

Now I understand...
wont be despised by what my staff mate is doing upon me.
 
Kizunguuu. Sikula udongo kabisaaaa.siwezi kusema I craved foods as such but I loved milk and fruits.

Kaunga has it all..it's something to do with hormanal change...ryte?
wont be despised with what my staff mate is demanding from me anymore ...
 
Last edited by a moderator:
Ila asikwambie tu mlale wote! Litatimka vumbi wakati wa masika.
 
What about the other coming mimbas?...was the same scenario persisting?

Nina ujauzito wa pili,nampenda sanaaaa mume wangu na nimekuwa na wivu ajabu mpaka najishtukia but I cnt control t..t happens tu but namshukuru mungu mambo ya kula maudongo sijawahi kumbana nayo
 
Oh yes. Or pizzas and burgers. Serious unajua? It happens.

Lucky you
sio my wife Kaunga alikuwa anakula udongo hadi wageni nikaacha kukaribisha nyumbani lol
udongo all over
 
Last edited by a moderator:
Nina ujauzito wa pili,nampenda sanaaaa mume wangu na nimekuwa na wivu ajabu mpaka najishtukia but I cnt control t..t happens tu but namshukuru mungu mambo ya kula maudongo sijawahi kumbana nayo

Sounds like every mimba has its own vikolombwezo... neggirl njoo uniambie yako ilikuaje?
ngoja nimuite na rafiki yangu Mkunde Original .....
 
Last edited by a moderator:
ni kawaida mkuu SnowBall una bahati ya kipekee
huyo atazaa mtoto wa kike..
nami ilinitokea nikiwa nasoma postgraduate hapo bongo dada mmoja alinipenda sana
darasani lazima tukae wote na nisipofika siku hiyo nae haiingii darasani
classmates walijua ni wife wangu kwani ni wiki ya mwanzo tu tuanze kozi ndio alianza
alikuwa hali kitu hadi nifike nimchukulie matunda au mishikaki canteen na ndizi roast..
mumewe walipigwa marufuku kumfuata chuoni,bahati nzuri mume wake alielewa
Hivo nkawa nampeleka ilipo ofisi ya mumewe huwa anamsubiri ili waende wote home
mume wake akawa anaitania mimi ndio mhusika wa hiyo mimba iweje inipende vile
nkambashiria atazaa mtoto wa kike na kweli akajifungua mtoto wa kike
kwa sasa tuko mabest wa siku nyingi ingawa tuko mbali....inatokea ni kawaida.
 
Oh yes. Or pizzas and burgers. Serious unajua? It happens.

teh teh teh....
Nadhani ndo muda wa kula vile unavovikosaga
Cuz arleady u have an excuse...
i wish mine apende mlende na chunga...
 
I can feel you; halafu unasema unaimiss

Sweetheart those close to me huwa wanashangaa kama wewe. Lol. I threw up throughout the day, each single day mpaka siku ya mwisho theatre! Hahaaa.
 
kama we ni mbahili na menu yako ni mlenda ugali
hapo ndo unapatikana...
atataka sekela chicken kila siku na ukileta hali
anaigusagusa tu...

Hapo unadhani nini kitafuata?..
Si ndio mambo ya kuchukiana..cuz sitaaford..
itaonekana mimba hainitaki kumbe tu ni uchovu wa kutoleta makange ya kuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom