Mimba ya mke wangu inanitesa

Mimba ya mke wangu inanitesa

ila wanadai miwa sio mizur kwa mjamzito kula mara kwa mara sina uzoefu sana wa hilo ila jarib kuuliza kwa wataalam wa afya na watu wazma kupata uhakika zaid
 
mkuu wew utakuwa bandidu asiye na huruma hata chembe.., hivi unaweza kulala na kumuacha mkeo analia usiku kucha sababu kakosa miwa..., na usingiz ukaja kabisa!!!!!!. sidhan kama unamaanisha ulichosema

May be mke wangu basi ni tofauti. Maana siku za mwanzo alikuwa ananiagiza vitu vya ajabu ajabu, nilipoona atazoea nikawa napotezea... Baadae akaacha.
 
umezidi upole, ndio keshakupanda kichwani, hio ya kumwaga maji ni indicator anakuona zoba,amka kuwa firm akifanya kitu kama hiko usimchekee muonyeshe huendezwi na tabia hio,for you two to be in harmony inabidi muwe na balanced relationship sio mmoja kufeel yuko juu ya mwenzake...
 
Wife wangu ana mimba ya miezi 7 now,alianza kunisumbua,kadri siku zilivokuwa zinaenda usumbufu ukawa unazidi kiwango,kuna siku uvumilivu ulinishinda nikamchapa kofi,tangu siku hiyo kapunguza sana upuuzi na tunapendana vizuri tu
 
Hovyoooooooo
 
Haujazaa wewe ndio maana una comment kilaisi laisi
 
Wife wangu ana mimba ya miezi 7 now,alianza kunisumbua,kadri siku zilivokuwa zinaenda usumbufu ukawa unazidi kiwango,kuna siku uvumilivu ulinishinda nikamchapa kofi,tangu siku hiyo kapunguza sana upuuzi na tunapendana vizuri tu

Una laana wewe,ungenikuta mimi na na zile hasira za mimba akiya mungu ningekufunga,tena unakuja hapa kabisa kujisifia eti nilimpiga,wewe sio binadamu
 
Mi juzi nimeamshwa saa 9 usiku niingie jikoni nipike ugali nikatekate kachumbari niitie ndimu nyingiii na nimchemshie maji ya moto nimuogeshe basi nikatafuta vifuu vilipo nikajibeba nikafanya kila kitu sasa wakati anakula simu ikaita Mtumee nilipigwa kofi hilooo jamani acheni kabisaa{simu ilikuwa ya Baba ananieleza kuwa Mama mgonjwa} kwahiyo kaka jikaze tupo wengi
 
Jamani hii sredi inafurahisha hadi raha,
Nyie wadada muwe na huruma, yaani visa vyote hivo, duh😱😀
 
Hivi itakuwaje ukiwa na mke mjamzito halafu akasema ana hamu kila saa kumuona Ex wake?
Kuna mtu anaweza akamsaidia kwa hilo
 
umezidi upole, ndio keshakupanda kichwani, hio ya kumwaga maji ni indicator anakuona zoba,amka kuwa firm akifanya kitu kama hiko usimchekee muonyeshe huendezwi na tabia hio,for you two to be in harmony inabidi muwe na balanced relationship sio mmoja kufeel yuko juu ya mwenzake...
sawa ushauri wako nimeuchukua, ila mpaka ajifungue kwanza. akiendelea na tabia hiyo nitachukua hatua. asante sana
 
kumbe mimba ndio zilivyo , kama hutakua mwelewa unaweza mpa mkeo talaka
 
Back
Top Bottom