Mimba ya mke wangu inanitesa

Mhhhh! Pole sana!!! sasa hilo la kumwagia maji kitandani hata haliingii akilini. Wengine wenye bahati zao ujauzito huwa bomba tangu mwezi wa kwanza hadi kujifungua. Vumilia tu imebaki miezi mitatu tu ila hakikisha hata siku moja husahau miwa tena.
 
Jina lako tu zimwimtu, avatar yenyewe utata mtutu, umeweka picha ya max...
haya panda miwa sasa nyumbani kwako
i wish ningekuwa nayo nyumbani, sasa ningejuaje kama angetaka miwa wakati huu, na nikipanda saiv mpaka ikomae si tayari keshajifungua!
 
Wako kama anapenda tuu miwa ni mzuri kuna wengine wao mimba zao zinawachukua tuu ndugu na wazazi wa mume
 
Mhhhh! Pole sana!!! sasa hilo la kumwagia maji kitandani hata haliingii akilini. Wengine wenye bahati zao ujauzito huwa bomba tangu mwezi wa kwanza hadi kujifungua. Vumilia tu imebaki miezi mitatu tu ila hakikisha hata siku moja husahau miwa tena.
itajitahidi mkuu, alilowanisha kitanda eti nisilale mpaka miwa ipatikane.., niliporudi na miwa aliniomba msamaha kwamba ilikuwa ni hasira tu, nikalala kwenye kochi mwanawane...
 
Reactions: BAK
ahaaa! Kumbe alielewa alichokifanya hakikuwa sawa. Utayasahau maudhi yote haya na pale utakamposhika mwanao kwa mara ya kwanza utajawa na furaha isiyo kifani. Mkikumbuka haya miwa na mengineyo yaliyosababishwa na ujauzito huu mnaweza mkawa mnacheka tu. Kila la heri kwenye ujauzito wenu.

itajitahidi mkuu, alilowanisha kitanda eti nisilale mpaka miwa ipatikane.., niliporudi na miwa aliniomba msamaha kwamba ilikuwa ni hasira tu, nikalala kwenye kochi mwanawane...
 
Last edited by a moderator:
nimevumilia na nitaendelea kuvumilia, na ham sana ya kubeba katoto.., namuomba sana mungu anitie nguvu katika hili.
 
asante sana mkuu kwa kunitia moyo, i cant wait to hold my own baby..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

We kweli Tangopori, you made my day aseee!
 
pia miwa sio mizuri kwa mama mjamzito mtoto anazaliwa akiwa amekatikakati just ushauri tu.
are u serious! i need to get a medical advice haraka sana. thanks dadaa.
 
pole sana mkuu ni upepo utapita.......utafurahia kumwona kichanga na zaidi mtakuwa mnakumbuka vituko vya mimba na miwa
 
Next time ukiona ki bend kinaanza tu panda miwa kwenye bustani yako na mchai mchai uwe karibu maana wana vituko sana hachelewi kutaka mchai mchai wakati tupo hapa mjini hehehe.
 
Ha ha ha ha ha ha yani hzi mimba jaman,u guys u made me smile dah,na kweli umelileta mahala pake maana wadau yapo mengi waliyokutana nayo,

Namalizia kwakusema,usumbufu wote huo ni kwasababu ya mimba hakuna kilichojificha,sasa kama role ya mwanaume inakupasa uwe mvumilivu sana kipindi kama hicho na mtekeleze yote mahitaj yake ni kipindi cha mpito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…