Mimba ya mke wangu inanitesa

Mimba ya mke wangu inanitesa

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
1,988
Reaction score
1,097
Wadau naomba uzoefu wenu katika hili..

Mke wangu ana mimba ya miez 6 sasa na ndo mimba yake ya kwanza. amepunguza mapenzi kwangu japo si saaana ila si kama zamani asiponiona atapiga simu weeee mpaka kero, siku hizi wala, nikichelewa nakuta keshalala wala hana habari na mim.

Katika mimba yake hiyo ametokea kupanda kula miwa.. ebwana ikiksekana hakukaliki hom. huwa na kawaida ya kupitia miwa pale mwenge na kumpelekea kila siku. maana ukinunua mingi ukaweka kwenye frij hataki et iaisha utam (ilimradi visa tu).

Sasa jana nilichelewwa kurudi kutoka job, kupita mwenge miwa hakuna, zunguka mpaka ubungo hakuna, ikabidi mwanawane kirud hom tu, kufika tu nikajitetea kuwa nilichelewa kurudi nikakosa miwa..,

Weeee, aliporomosha matusi mpaka hasira, nikamwacha aongee tu maana nilimbembeleza anisamehe nitaitafta kesho maana ilikuwa saa nne tayari hakunielewa. mpaka akamwaga maji kitandani eti nisilale mpaka miwa ipatikane..,

Basi nilizunguka mpaka saa 6 ndo nikaipata buguruni, hapo tuligonga hdi muuzaji keshalala nikidanganya nataka ya kutengenezea dawa.

Jaman kuweni na huruma japo kidogo...., hivi baada ya mimba atabadilika kweli au ndo atabadilika mazima my wife wangu!!!...., naumia sana, kuna vituko kibao ila cha jana ndo kiboko...

Nawasilisha.
 
ni mimba bwana hiyo akizaa atabadilika hadi utashangaa.mvumilie tu miezi 6
yote umevumilia hiyo mitatu ilobaki isikushinde bwana.
ila nae vituko vya mimba vimezidi hadi amwage maji katika godora
sa ye angelala wapi au alimwaga upande wako tu?

umenichekesha saaana maana kufata miwa hadi buguruni hilo nalo kazi
ila mie nakupa hongera kwa support hiyo kwa mkeo wengine wangekua
wameanza kuhangaika na nyumba ndogo.

KIP ON SUPPORTNG HER
 
wadau naomba uzoefu wenu katika hili..

mke wangu ana mimba ya miez 6 sasa na ndo mimba yake ya kwanza. amepunguza mapenzi kwangu japo si saaana ila si kama zamani asiponiona atapiga simu weeee mpaka kero, siku hizi wala, nikichelewa nakuta keshalala wala hana habari na mim.

katika mimba yake hiyo ametokea kupanda kula miwa.. ebwana ikiksekana hakukaliki hom. huwa na kawaida ya kupitia miwa pale mwenge na kumpelekea kila siku. maana ukinunua mingi ukaweka kwenye frij hataki et iaisha utam (ilimradi visa tu)
sasa jana nilichelewwa kurudi kutoka job, kupita mwenge miwa hakuna, zunguka mpaka ubungo hakuna, ikabidi mwanawane kirud hom tu, kufika tu nikajitetea kuwa nilichelewa kurudi nikakosa miwa..,

weeee, aliporomosha matusi mpaka hasira, nikamwacha aongee tu maana nilimbembeleza anisamehe nitaitafta kesho maana ilikuwa saa nne tayari hakunielewa. mpaka akamwaga maji kitandani eti nisilale mpaka miwa ipatikane..,

basi nilizunguka mpaka saa 6 ndo nikaipata buguruni, hapo tuligonga hdi muuzaji keshalala nikidanganya nataka ya kutengenezea dawa.

jaman kuweni na huruma japo kidogo...., hivi baada ya mimba atabadilika kweli au ndo atabadilika mazima my wife wangu!!!...., naumia sana, kuna vituko kibao ila cha jana ndo kiboko...

nawasilisha.

hujawahi kuamshwa usiku wamanane unaambiwa "NASKIAJOTO NIPEPEE"muhusika sasa anaepepelewa katoa jicho kama nini olewako speed ipunguee,utakiona utaambiwa unamnyanyasa,mara humpendi...makasheshe kibao
 
Nilishawahi kuamshwa saa tisa usiku nikanunue chips kavu...thanks God kulikua na bar inayokesha karibu.......Mimba kiboko!:bange:
 
hujawahi kuamshwa usiku wamanane unaambiwa "NASKIAJOTO NIPEPEE"muhusika sasa anaepepelewa katoa jicho kama nini olewako speed ipunguee,utakiona utaambiwa unamnyanyasa,mara humpendi...makasheshe kibao

Ha ha ha ..Mimi kuna wa jirani yangu yeye alikuwa anataka chipsi tena za mangi mtaa wa tatu, na ole wake
alete za mtu mwingine balaa...kumbe anazijua!

Mwisho wa reli alikuwa anaambiwa kila jioni aje na miguu ya kuku ya kukaanga na jamaa mwenyewe 'braza men"!!
anawaza namna atakavyopita Uswazi kwenye vigenge kununua!
 
Nasikia Elizabeth Dominic yeye alikuwa anataka kila siku jioni apelekwe Kamanga ferry kupunga upepo wakati
huo anaishi Pasiansi lol!
 
Last edited by a moderator:
kesi inafika mpaka ukweni..!!!nakumbuka zama tulikuwa tunaambiwa ukiona mwanamke mwenye mimba anamchukia mumewe ujue mtoto wakiume...sasa huwa sijui huo uhusiano unatoka wapi
Ha ha ha ..Mimi kuna wa jirani yangu yeye alikuwa anataka chipsi tena za mangi mtaa wa tatu, na ole wake
alete za mtu mwingine balaa...kumbe anazijua!

Mwisho wa reli alikuwa anaambiwa kila jioni aje na miguu ya kuku ya kukaanga na jamaa mwenyewe 'braza men"!!
anawaza namna atakavyopita Uswazi kwenye vigenge kununua!
 
ni mimba bwana hiyo akizaa atabadilika hadi utashangaa.mvumilie tu miezi 6
yote umevumilia hiyo mitatu ilobaki isikushinde bwana.
ila nae vituko vya mimba vimezidi hadi amwage maji katika godora
sa ye angelala wapi au alimwaga upande wako tu?

umenichekesha saaana maana kufata miwa hadi buguruni hilo nalo kazi
ila mie nakupa hongera kwa support hiyo kwa mkeo wengine wangekua
wameanza kuhangaika na nyumba ndogo.

KIP ON SUPPORTNG HER
alilowanisha kitanda kizima, akasema hanahaja ya kulala kama asipopata miwa, asante kwa kunitia moyo. nampenda sana mke wangu nitavumilia tu.
 
Back
Top Bottom