malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 2,780
- 2,716
Habar wakuu poleni namjukum mke wangu anamimba ya miezi 8 na siku17 ...mjamzito anadalili zinazofannana na uchungu kuuma nyonga maumivu yanakuja nakuachia...je kunauwezekano wakujifungua na mtoto akawa hai kwa umri wa mimba hii ya miez8 na siku17..maana mimba miezi 9 kamili Bado haijakamilika