Naomba kuuliza juu ya athari anayoweza kupata mtoto aliyebebewa mimba akiwa na miezi sita au chini ya hapo

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
691
1,000
Habari wa JF, naomba kuuliza juu ya athari anayoweza kupata mtoto aliyebebewa mimba akiwa na miezi sita au chini ya hapo. Je joto la mama ambaye mjamzito linaweza kumuathiri mtoto au kitaalam imekaaje
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,075
2,000
Habari wa JF, naomba kuuliza juu ya athari anayoweza kupata mtoto aliyebebewa mimba akiwa na miezi sita au chini ya hapo. Je joto la mama ambaye mjamzito linaweza kumuathiri mtoto au kitaalam imekaaje
Hakuna madhara kama mtoto anapata lishe nzuri na upendo
 
Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
691
1,000
Maana baadhi ya watu wanasema joto la mama lina madhara kwa afya ya mtoto ndo mana nimeona nije humu kwa wajuvi
 
Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,789
2,000
Hakuna madhara kama mtoto anapata lishe nzuri na upendo
Hakuna madhara kama asemavyo mdau hapa juu. Zingatia mtoto apate lishe nzuri sana, mpende mwanao sana (Yaani usimchukie) Kula vizuri pia kumlinda mwanao wa tumboni. Endelea kunyonyesha hadi mwezi wa nane, mwezi wa tisa wa mimba yako mwachishe ili kutengeneza maziwa ya kiumbe ajaye. Kila la kheri.
(Mimi pia nilibebesha mtoto kama wewe, lakini sikupata shida yoyote nilipoufuata ushauri wa Madaktari, epuka maneno ya mtaani.)
 
Thanks very much
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom