MIMBA NYINGI HUTUNGWA DECEMBER.

MIMBA NYINGI HUTUNGWA DECEMBER.

wined

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,785
Utafiti unaonesha kuwa watoto wengi sana huzaliwa augost had september kuliko kipindi kingine cha mwaka.
Ukifanya sensa hata hum Jf utakuta waliozaliwa augost au september ni wengi mno.
Uchunguzi unaonesha mimba nyingi hutungwa kuanzia Dec na mwanzoni mwa mwezi january. Sababu kuu ni kuwa wapenzi au wanandoa wengi huwa pamoja kipindi hiki. Na hutumia pesa nyingi mno kufurahishana.
 
We umezaliwa mwez gani mkuu labda tuanzie na kwako kwanza[emoji41]
 
Back
Top Bottom