Hili taifa litakuja kuwa na kizazi cha laana sababu ya maamuzi ya kipumbavu na kibinafsi wanayofanya watu wasiojielewa.Inaitaji akili kubwa kuelewa nn unazungumzia
Iv unalichoandika kinawezekana kwel?
Ukinambia mimba haina baba anapew mwanaume wingne ntaelewa ila mimba ina baba af apewe baba mwingne mtoto inakuaje iyo
Aongeze mchanga iwe kikombe cha chai siyo kijiko.Mwamposa kwani anasemaje? Aongeze maji kwenye radiator au aongeze mafuta kwenye tank?
Niunge naye mkuu nko serious. huyo hawez kuzngua maana akili ishamkaa sawa kutelekezwa. vp lkn ana chura?Hii ishu ipo wapi?
Kuna pisi kali hapa katiwa mimba mwanaume kaikataa na kaondoka kabisa mjini. Nadhani angempata mtu wakuihudumia angefarijika sana. Maana anasema kuilea hawezi na kuitoa anaogopa ndio kwanza mwezi mmoja
Ni pisi ya kwenda af imetulia hatariNiunge naye mkuu nko serious. huyo hawez kuzngua maana akili ishamkaa sawa kutelekezwa. vp lkn ana chura?
Watu gani Hao wanataka Mimba ,Mimba tunazikimbia Kila siku ...
Hakuna mimba isiyokuwa na baba jichanganye uje kujutia.Kwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.
Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya uzazi na wanawake wenye mimba wasio na mababa zao.
Dalali anakula, mama anakula na Baba anafaidika kisheria. Kujipatia mtoto asiye wake.
Mijidudu ya Uswazi ime take advantage, unahudumia mimba, mwisho wa siku dada anajiunga kliniki tatu, hiyo ndiyo changamoto.
Play smart
Mjini mipangoKwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.
Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya uzazi na wanawake wenye mimba wasio na mababa zao.
Dalali anakula, mama anakula na Baba anafaidika kisheria. Kujipatia mtoto asiye wake.
Mijidudu ya Uswazi ime take advantage, unahudumia mimba, mwisho wa siku dada anajiunga kliniki tatu, hiyo ndiyo changamoto.
Play smart
inboxed u.Ni pisi ya kwenda af imetulia hatari
Sio machepele. Msela kaiotea tu
Hicho ni cheo cha mtume Mwamposa mkuu. Yeye hambagui mtu yeyote. Ni mtume wa dini zote na hata wapagani. Mwezi ujao atakuwa Morogoro akiuza tani 10 za udongo wenye upako. Imagine kijiko cha udongo anauza Tsh 1000. Je, tani 10 atavuna trillion ngapi?
Jiji limejaa mahanithi huwa mnakula nini huko ?Kwa sisi wakazi wa jiji la maraha, jiji la bandari tunakubaliana kitu kimoja, jiji letu lina watu wengi wenye matatizo ya nguvu za kiume na low sperms count, yaani wanaume ni wagonjwa kuliko wanawake kwenye afya ya uzazi.
Sasa basi, kumekuwa na madalali wanawakutanisha wanaume wenye màtatizo ya uzazi na wanawake wenye mimba wasio na mababa zao.
Dalali anakula, mama anakula na Baba anafaidika kisheria. Kujipatia mtoto asiye wake.
Mijidudu ya Uswazi ime take advantage, unahudumia mimba, mwisho wa siku dada anajiunga kliniki tatu, hiyo ndiyo changamoto.
Play smart
Huku hamna makusu, wala vibama, wala numbu, wala migagi, wala mbangayeyeJiji limejaa mahanithi huwa mnakula nini huko ?
Fungu la kumi anatoa kwenye madhabahu ipi?Hicho ni cheo cha mtume Mwamposa mkuu. Yeye hambagui mtu yeyote. Ni mtume wa dini zote na hata wapagani. Mwezi ujao atakuwa Morogoro akiuza tani 10 za udongo wenye upako. Imagine kijiko cha udongo anauza Tsh 1000. Je, tani 10 atavuna trillion ngapi?
Yeye hana fungu la kumi bali ana sadaka ya kujimaliza ambayo waumini hutoa chote walicho nacho na kumpa mtume huku wao wakiendelea kubaki masikini wa kutupwa! Nchi ngumu san hii.Fungu la kumi anatoa kwenye madhabahu ipi?