Mie nimebakiwa na vipindi viwili tu.
1. Sports Xtra
2. Easy Sunday
what happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz....mara Diamond this mara Diamond that ungese mtupu come on Millard give us break siku hizi kipindi chako kinaboa kinoma ndio maana ikifika saa moja na tune kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio.....nimebakiwa na vipindi vitatu tu Clouds Radio...Power Breakfast, XXL, Jahazi na Sports Extra na kile So So Fresh cha madafada Fetty
Are you talking to him on this forum?
Clouds will always be my favorite station... watu kila siku utakuta wanajifanya wanaiponda lakini ukiangalia post zao unagundua ni lazima uwe msikilizaji wa radio husika ndipo unaweza kuongea wanayoongea!!

Hapana aisee cloud ni wapuuz sana mi binafsi sijawah sikiliza radio hiyp..ni RFA mwanzo mwisho
Umeonaeee...!! Ni shiggiidiii.....
Who is she or he?