Millard Ayo na Meena Ally

Baba ilumba

Member
Apr 18, 2020
37
49
Habarini wana JF

Leo asubuhi niko dukani kwa Mangi nanunua kamkate tukafungue kinywa. Basi pembeni hapo dukani kuna hawa wadada na wamama wauza vitafunio, wakawa wanaongea kitu na kuonekana kila mmoja kuwa na upande wake.

Jambo lenyewe kumbe ni udaku bwana eti hawa watangazaji wa Clouds Millard na Menina huenda wakawa kwenye uhusiano wa kimapenzi lakini wanafanya kificho tu maana si kwa ukaribu walionao jana ilikuwa birthday ya Menina walikuwa wanazunguka wote tu kwenye supermarket huenda wana uhusiano wa kimapenzi hao.

My take: Mimi nikajisemea tu kama in kweli basi couple yao itapendeza maana wanaendana sana tu.
 
Back
Top Bottom