Military police (MP)

J putin

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
1,263
1,195
Naomba kujua sheria ipi inampa mwanajeshi kibali cha kumpiga mwananchi au raia ikiwa ni pamoja na kumpa adhabu,

Kwa nini asimkabidhi yule raia kwa jeshi la polisi ili achukuliwe hatua za kisheria?

Na kwa nini amchukue mpaka kambi za jeshi kwenda kupewa adhabu huko kwa naye ni mwanajeshi,

Hii imetokea leo pale jkt karibu na uhasibu barabara ya kilwa road kwa kodakta moja wa daladala.

Nawasalisha.

J putin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ubabe tu mkuu,wale ma MP ni kwa ajili ya wanajeshi wanspoharibu kazi wanawapeleka huko wanakula tifu la kutosha.

Ndyo maana hakuna raia atakayehukumiwa katika mahakama za jeshi.jeshi na raia hakuna uhusiano.

Hayo mambo ni ya polisi.

Sasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo ni uelewa wa askari tu,wapo askari hawana noma ukiingia anga zao wanakuelekeza fresh tu,ils sasa kuna ambao wanataka kuonekana wababe wababe hao ndo shida sasa.

Jeshi ni mlinzi wa watu haiwezekani awe against na huyo raia ambaye ndo mlindwa kwa kiasi akiingia usawa wa eneo la kambi bila kusudio wala jeuri eti aadhibiwee na na MP hilo hapana.
Sasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hamna shida kabisa wale jamaa huwaga hawapigi bali huwa wanakufanyisha mazoezi ya viungo tu.
Kama wakikupiga una haki ya kumshitaki(hata kwa mkubwa wake) au kama anakaa mtaani nenda kamshitaki polisi,kama raia wa kawaida(jamaa huwaga wanajishusha sana inapofikia ishu ya kupelekwa mahakamani)

5/5.
 
Kuna mambo ya kuangalia. Kwa jicho la tatu!
...katika nyanja za kijeahi kuna intelligensia mtu anaweza kujifanya kapotea njia anakatiza kwenye kambi ya jeshi kumbe kuna taarifa anatafuta.. Ukimkamata na kumpeleka police atatoa 10,000 watamwachia kesho atakuja tena au atakuja mwingine! Hapo baada ya mwaka watakua wamepata taarifa kiasi flani wanachotaka!
Dawa ni kuhakikisha hakatizi mtu asiyehusika na hapo ndo panapokuja ile neno DOSO au adhabu za kijeshi maana ukienda kipolice police kule ni hela tuu na kama ni misheni imepangwa lazima ikamilike
 
Mbona hamna shida kabisa wale jamaa huwaga hawapigi bali huwa wanakufanyisha mazoezi ya viungo tu.
Kama wakikupiga una haki ya kumshitaki(hata kwa mkubwa wake) au kama anakaa mtaani nenda kamshitaki polisi,kama raia wa kawaida(jamaa huwaga wanajishusha sana inapofikia ishu ya kupelekwa mahakamani)

5/5.
Hiyo mandate ya kukufanyisha mazoezi kama hujakosea wanaitoa wapi?
 
usinikumbushe hio kambi ya hapo uhasibu kuna siku zamani wakati nipo TIA apo niliingia kwenye supermarket yao ya jeshi pale nimevaa kata K kulikua ni kipindi cha mvua mvua kwakweli sitasahau yaliyonikuta wanajeshi sisi sio adui zenu sisi ni raia tu adhabu zenu zinawafaa nyie sio sisi raia

sikuingia class vipindi karibu wiki nzima na nilipata kichomi ugonjwa ambao sikua nimewahi kupata tangu nimezaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu hii tabia isipokomeshwa tutakuja kuuana bure,maana hata sisi raia tuko vizuri sana kwenye kupambana,maana nina uhakika wanajeshi watatu nina uwezo wa kuwakalisha chini vzr sana,maana hata raia wengine wana bastola tutakuja kuuana hivi hivi,mi siwezi kukubali hata siku moja bora inuke tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tesla! We ni sensei ni nini? Watu watatu wenye mazoezi unaondoka nao! Mimi wawili tu, ila wakiwa maboya nawasafirisha kweli.

Suala la Wajeda kuwapa adhabu raia ni utemi tu na kinachowalinda ni jezi zao za mabaka baka. Raia akifanya kosa inabidi akabidhiwe mikononi mwa polisi.
 
Mkuu wewe upo vizuri sana ilitakiwa upambane na hao jamaa Ili wamuachie huyo mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usinikumbushe hio kambi ya hapo uhasibu kuna siku zamani wakati nipo TIA apo niliingia kwenye supermarket yao ya jeshi pale nimevaa kata K kulikua ni kipindi cha mvua mvua kwakweli sitasahau yaliyonikuta wanajeshi sisi sio adui zenu sisi ni raia tu adhabu zenu zinawafaa nyie sio sisi raia

sikuingia class vipindi karibu wiki nzima na nilipata kichomi ugonjwa ambao sikua nimewahi kupata tangu nimezaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha hawa watu wakati nasoma nilikuaga napanda basi Lao kila siku... Siku hiyo nimepanda fresh tu hadi nimekaa wananiangalia Sana nikasema Leo Vip.. Huku gari linatembea wakanisimamisha mbele wakanipigisha magoti.. Daaah et kisa nilikua sijachomekea shati La shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi babu alikuwa master wa karate huko Japan,mwaka 1990 alirudi home,toka hapo baada ya miaka minne nilianza kufundishwa huu mchezo mpaka miaka 20 bado niliendelea kufundishwa na babu,

Kiufupi nina daraja la juu kabisa kwenye huu mchezo huwa napigana na kundi la watu, ila wanaojua huu mchezo bado niliendelea kuwapa dozi mpaka najiona sina mpinzani

Back
Top Bottom