CCM fanyeni mnavyofanya lakini mwisho wake mnaumbuka alafu mnaingia kizani na uchunguzi ,mnataka kusema muungano ukugawika Zanzibar watamalizana ,hatuwezi kumalizana kwani hivi sasa hakuna usalama wakati Ulinzi ni jambo la Muungano ,nani wa kulaumiwa ,kama wazenji wenyewe wangeshika Ulinzi wenyewe basi uhuni huu usingetokea.