VIFO VYAONGEZEKA NIGERIA: Mamlaka nchini Nigeria zathibitisha vifo kuongezeka kutoka 40 hadi 118 kufuatia milipuko 2 ya mabomu iliyotokea katika mji wa Jos.
Nasema tena alshabab lazima wawe creative km bokoharam ili wakenya wakome then wapendane wenyewe kwa wanyewe then wakishamalizana ndo waje wajiunge na sisi kimaendeleo zaidi...sawa lawmania mmerikologa Somalia lazima mlinywe na sio kutaka mataifa mengine yawasaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.