Milioni 4.5 ninunue bodaboda mbili au nifanye finishing ya nyumba yangu

Anko Kong

Senior Member
Jul 3, 2020
130
72
Wakuu kwema?

Nimerudi tena kwa milion 4 na laki tano ninunue bodaboda mbili moja niendeshe mwenyewe nyingine nimpe mtu aendeshe kwa makubaliano au nifanye finishing ya nyumba yangu, najua humu kuna wajuz wa mambo haya.

Karibuni kwa maoni yenu wakuu.
 
Kama una experience na kazi ya boda boda bora uiweke huko hiyo hela coz ukiwa makini vzr itamaliza finishing ya mjengo wako na faida juu kwa mda flan, bt kama hauna experience nayo ndo unataka uingie kujaribu kaa mbali.
Bodaboda inahitaji experience gani mkuu?
 
Fanya kunipa mimi iyo hela .nkupe boda boda 2 na nku fanyie fishing nyumba yako, fursa hadimu na bahati ii ni PM tumalize kazi ..
 
Shika Moja fanya moja, Malizia nyumba kwanza utapata utulivu wa akili HUWEZI kufa njaa maana nyumba huongeza uaminifu kwa Jamii.

Ukienda bodaboda ukapata ajali ya miguu utaanzaa KULIALIA n'gombe wa maskini hazai kumbe wenge lako mwenyewe.
 
Kama una experience na kazi ya boda boda bora uiweke huko hiyo hela coz ukiwa makini vzr itamaliza finishing ya mjengo wako na faida juu kwa mda flan, bt kama hauna experience nayo ndo unataka uingie kujaribu kaa mbali.
Sina experience mkuu
 
Fanya Finishing Kausha zako,ukipata hela haina kazi

Yani hata kama ikatokea umeziweka mahali ukaja ukakuta

Mchwa wamezila roho haitokuuma ndio ununulie boda boda hy hela.

Ila kwa sasa hivi kwakua macho akili roho damu zipo kwenye hyo 4.5 basi fanya finishing.
 
Hiyo 3m wekeza tu kwenye nyumba alafu 1.5m unipe Mimi..upate faida ya 5m kwa miezi miwili tu..
Yakwel hayo dada angu ..mim nipe mchanganuo huo wa 1.5m itoe 5m ndan ya miez mi3 tufanye wote wew ule 50% ya faida
 
Nunua bodaboda Moja, nyingine weka Benji ndani ya miezi miwwili utakuwa ushapata hela hiyo ulionunulia kama utakuwa unaendesha mwenyewe na kuweka nguvu kwenye kazi yako ya bodaboda Huku ukiwa mbahili WA kiwango cha lami
 
Kama huja uzoefu na biashara ya boda boda acha kabisa usibeti huko.

Nina uzoefu wa nwaka mmoja sasa nilianza na boda 2 nikiwa na lengo la kuongeza 2 ziwe 4 ila tokea mwaka jana sijaongeza hata nikiokota hela siongezi boda.

Business model ya boda boda ngumu la sivyo uendeshe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom