Nakukunda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 875
- 1,647
Nashangaa hata OPA..verossa...mark x na nissan xtrail zinashuka sana bei...Gharama za Mafuta. Vijana wa mjini wamelipa jina na kuliita ‘ Jini '

Mafuta + maguPls kaka samahani hivi nini kilishusha thamani ya GX100?