Milioni 200 Jackpot. The formula is here

Milioni 200 Jackpot. The formula is here

Bonus inaanzia mechi 10, lengo ni timu 12 maana bonus ya timu 11 haifikagi 400,000 ila hata hivo mara chache sana kuliwa
Kumbe. Sema jackpot kuitusua ngumu mkuu nipe madini ligi zikianza nianze kuweka mikeka ya jackpot niliacha kubet toka 2024 mwezi wa 6 baada ya ligi kuisha na ile pesa ikaliwa nikakata tamaa
 
Kupata VITUKO kama hivi andikaaaaaaaa

Fanya kazii KWENDA namba 156766
 
Kumbe. Sema jackpot kuitusua ngumu mkuu nipe madini ligi zikianza nianze kuweka mikeka ya jackpot niliacha kubet toka 2024 mwezi wa 6 baada ya ligi kuisha na ile pesa ikaliwa nikakata tamaa
Sahivi hawaweki timu za maana,wanaweka ligi ya Brazil na Sweden kwa wingi,ila sportybet ligi kubwa ikianza wanaweka timu kubwa tu tofauti na wengine wanakichanganyia hadi ligi ya china na japan
 
Mkuu jackpot ni bahati,wanaoshinda hawachezi mara hizo zote,nachezaga jackpot ya timu 17 betpawa na huwa naingia kwenye mgawo sometimes hasa pale zinapowekwa timu za ligi kubwa kubwa maana wapo serious.
Nawekaga sh 1000 nacheza mikeka 10 kugeuza geuza timu.
Jackpot ni bahati,kama una bahati unaweza ukaotea hata kwa kucheza sh 100 tu
Umemaliza Kila kitu mkuu.
Jackpot ni bahati nasibu kubahatisha tu.
Tatizo wapo watu wanaona kama akicheza basi lazima ashinde.
Kumbe haiko hivyo, pale unabahatisha tu.
Mimi nimewahi kuingia kwenye mgao wa ile Jackpot ya mechi 13.
 
Niliacha kucheza ya timu 13 kwasababu ina bonus ndogo unapata timu 10 unapewa hata sh500 kwasabu idadi ya wanaopata ni wengi,. Ila timu 17 nimeingia kwenye bonus zaidi ya mara 5 huwa naangukia timu 13,14 na 15, bonus ya juu ilikuwa sh 480,000.

Mi lengo langu ni kupata zote ,ila kwenye jackpot ukichambua usiamini timu moja au zaidi ukairudia kwenye mikeka yote,maana ukiweka ushindi halafu haijashinda unakuwa umepoteza mechi moja tayari kwenye mikeka
Mechi 17 ni nyingi sana.
Jackpot ya mechi 13 ndio angalau
unaweza kubahatisha.

UkiWeka Double chances 8 kati ya mechi 13 za jackpot, kwa dau la 6400 @ mkeka mmoja......
Wakati huo uwe una uhakika matokeo ya mechi 5 tu...unaweza kuisogelea bahati
 
Back
Top Bottom