Hii dini ni noma. Terms and conditions kibao.
Hii dini ni noma. Terms and conditions kibao.
Ni Aya ipi inayokataza ringtone?Je vipi wasio "wa allah" wakawa wameweka?
Haramisheni matumizi ya simu kwa waumin wenu.kwani anaweza asiwe na hizo tones na akawa na picha za mambo yetu yale.
wanasahau na Clip za Sheikh Ilunga, hata Video zake bado kuna picha za marehemu Shekh Makaburi Sheikh Igogo zote hizo wanazisahau ?Ni Aya ipi inayokataza ringtone?Je vipi wasio "wa allah" wakawa wameweka?
Haramisheni matumizi ya simu kwa waumin wenu.kwani anaweza asiwe na hizo tones na akawa na picha za mambo yetu yale.
NA ILE inayosema ili upate uzima wa milele lzm unywe divai, na kama wewe ni unaathirika na hio divai uzima unapita kushoto! we huupati ng'oo!
mi mwenyewe napiga hesabu za kuhamia huko kwenye mapilau na biriani! vitimoto vinanidhuru mno.
Dini yenye utaratibu sio km hio mpaka shoga anaongoza ibada lol!!
Ni aya gani katika quaran inazungumziaa hivoo mie ndo maana nilishawaii kusemaga ukiwasikiliza sana warabu na ukiendekeza dinii sana mwisho wa siku utakufa masikini...kuna wazee ...enzi za tanganyika waliamini kumpeleka mtoto wa kiisilamu kwenda ..kusoma shule za wamissionary ni sawa kwenda kujifunza ukafiliii..na. Ukristo na badale yake waliamini mtoto akisoma madrasa. Ndo njia pekee ..sasa baada ya miaka 30...mbelee baada ya kuona wale waisilamu waliokuwa wanasoma zilee shule huku mbeleni ndo wanashikilia nafasi kubwa serikali maofisini na wana maisha mazuli....hapoo ndipo wanajuaa umuhimu wa elimu.....kwa kweli ndugu zangu ...waisilamu tuwe makini na hizi propaganda za mashehe uchwalaa
Teh teh teh!
Naomba kuuliza,hv kwa nini biashara kubwa ya mashoga ipo nchi za kiarabu!!!?
Hata hapa afrika mashariki eti zanzibar,mombasa na Tanga ndo wanaongoza biashara hiyo!Na nafikiri unatambua dini gani imetamalaki huko.
Nasubiri jibu tafadhali!
Labda dada yangu FaizaFoxy atupe ufafanuzi kidogo hapa.