pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
- Thread starter
-
- #341
Mpaka tufike site ndo tunaweza kukupa estimate nzuri maana Raman za nyumba zinaukubwa tofautiRennovation mnaweza fanya kwa bei gani? Nipe estimates za nyumba ya vyumba vitatu ikiwa nitataka mfumue paa lote apigwe msauzi,gypsum pamoja na kumwaga tiles ndani plus alluminium windows?
Asante Nguruvi kuna mradi tunafanya Dodoma wa serikal ukikamilika nita update na utapata majibu yote haya kiongozi wangupettymarcel kazi nzuri ongezeni design kwa mahitaji tofauti. Sijaona apartment au townhouse n.k.
Sijakuelewa kiongozi wangu wewe hapo unataka tujenge mpaka kwenye lenta halafu finishing ufanye wewe? Yaan kuezeka, kupaua nk viwe juu yako au unataka sisi tujenge hadi wapi?Mkuu kwa mfano wa hiyo Nyumba ya m.75 nikikwambia mnijengee ila finishing ntafanya Mwenyewe,nyie mjenge scratch tu,msiweke mirango wala madilisha wa kupaka rangi wala kuezeka,...hili linawezekana!?na kma linawezekana unaweza nikachangia sh.ngapi approximately!
Ndio mkuu hivyo hivyoSijakuelewa kiongozi wangu wewe hapo unataka tujenge mpaka kwenye lenta halafu finishing ufanye wewe? Yaan kuezeka, kupaua nk viwe juu yako au unataka sisi tujenge hadi wapi?
Ndio karibuMkoani VIP mnaenda pia!?
Mungu aibariki kazi ya mikono yako kaveli ufanikiweProject nzuri sana. Keep it up wakuu.
One day YES. Ngoja niendelee kupambana.
-Kaveli-
Ok sawa mkuu sasa hapa tunachoangalia ni mchoro wa Raman unaukubwa gani then as from Thea ndo tuna tathimin coz kila ramani inaukubwa tofauti kulingana na needs ya mteja bt kama ni Raman ya kawaida tu around 30M itatoshaNdio mkuu hivyo hivyo
Ok sawa mkuu sasa hapa tunachoangalia ni mchoro wa Raman unaukubwa gani then as from Thea ndo tuna tathimin coz kila ramani inaukubwa tofauti kulingana na needs ya mteja bt kama ni Raman ya kawaida tu around 30M itatosha
Mungu aibariki kazi ya mikono yako kaveli ufanikiwe
As long as unafanya kazi kwa juhudi na umemtanguliza Mungu hakika utafanikiwaAmina Amina! Mbarikiwe pia kwenye hii project yenu.
Ya Mungu mengi. Ipo siku mbeleni huko nitarudi kuutafuta uzi huu kwa ajili ya vitendo.
Insha-Allah Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi ktk hustle zetu vijana nasi tutimize ndoto ya kumiliki nyumba nzuri. cheers
-Kaveli-
Poa mkuu ngoja mkewangu atoke ulaya nimchune visenti kidogo niongezee,hopefully ntakuonaOk sawa mkuu sasa hapa tunachoangalia ni mchoro wa Raman unaukubwa gani then as from Thea ndo tuna tathimin coz kila ramani inaukubwa tofauti kulingana na needs ya mteja bt kama ni Raman ya kawaida tu around 30M itatosha
Karibu sana mchunaji wa mkewePoa mkuu ngoja mkewangu atoke ulaya nimchune visenti kidogo niongezee,hopefully ntakuona
Mil 32 ni nyumba ya square mita ngapi?Ni Vyumba viwil self vyote ukubwa 4.5*4.5 kwa chumba then sebule choo cha public, dining, store na jiko karibu sana mikoan kote tunafanya kaz mpaka zanzibar