Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Asante mkuu wanishauri katika nini mkuu naomba unifafanulie ili nijue mapungufu asante
Marketing strategies na Technical Aspects!

Mfano haraka tu unaposema bei yenu ya nyumba ni kwa site yeyote ile hapo tu mtu atajua ni uwongo. Humu kuna watu wenye uzoefu wa ujenzi, Engineers, Architects, QSs etc wanajua cost za kujenga zinatofautina kwa topography, nature ya udongo, site location etc. Sasa ukigeneralize bei tutaamini ni utapeli au hujui unachotaka kukifanya!
Harafu acha kuweka picha za 3Ds hizo kila mtu anazo weka za Site watu waone quality ya kazi yenu.
 
Karibu ofisini kwetu makumbusho complex au Buzuruga Plaza kwa Mwanza utapata maelezo yote ya maswali yakoView attachment 473036View attachment 473038
021f7665ea3098243ee51b0e5d380f2d.jpg
View attachment 473039View attachment 473040View attachment 473041View attachment 473043 hizo ni sample za baadhi ya project zetu tunazofanya pia hayo ni mabati ya msauz ndo tunaezekea karibu bosi
... Materials mnauza?
 
Tatizo wabongo hamueleweka NSSF wanauza nyumba za vyumba viwili na sebule kwa ml 58,000,000= n.mnalalamika eti bei kubwa sana, sasa mmeletewa nyumba za mil32 mnasema hakuna nyumba ya gharama iyo, sasa mnataka nyumba ya sh ngapi?
Gharama za ujenzi wa nyumba mpaka kukamilika inategemea na material yanayotumika pamoja na kiwango cha nyumba yenyewe. Ukisema unajenga nyumba kwa milioni 32 ya kisasa, ukapiga finishing ata ya third class kwenye nyumba ya vyumba vitatu yenye sebule, jiko, 2bathrooms na store pamoja na kufanya plumbing, wiring, wall finishing, floor na ceiling lazima utimie material ambayo ni very cheap sio kama yanavyoonekana kwenye izo picha zilivyopigwa kwenye bafu, wala cladding za iyo picha ya visualization. Itabidi mteja aweke assumption kwamba kiwanja ni chake alishanunua, tusifike mbali sana....I smell something fishy
 
... Je vipi kuhusu kumalizia nyumba, na kufanya finishing?
Ukiwa na maana kwamba nyumba yako imejengwa haijamaliziwa unataka sisi tuimalizie? Kama ndo umemaanisha ivo karibu tunafanya finishing garama itatrgemea na ukubwa wa Nyumba na mahali ilipoishia karibu sana chek me WhatsApp kwa 0763772636 tuyajenge Maisha
 
... Nitakupigia
 
Gharama za ujenzi wa nyumba mpaka kukamilika inategemea na material yanayotumika pamoja na kiwango cha nyumba yenyewe. Ukisema unajenga nyumba kwa milioni 32 ya kisasa, ukapiga finishing ata ya third class kwenye nyumba ya vyumba vitatu yenye sebule, jiko, 2bathrooms na store pamoja na kufanya plumbing, wiring, wall finishing, floor na ceiling lazima utimie material ambayo ni very cheap sio kama yanavyoonekana kwenye izo picha zilivyopigwa kwenye bafu, wala cladding za iyo picha ya visualization. Itabidi mteja aweke assumption kwamba kiwanja ni chake alishanunua, tusifike mbali sana....I smell something fishy
Pole kaka usiwe na mawazo hasi kwa kila jambo naomba nikuulize Mfano kama mimi Nina kiwanda kidogo cha kuproduce mabati na misumari je unadhan bei ya bati kwangu itakuwa sawa na ya wewe unaenunua rejareja? Huo ni Mfano tu kuna mtu anaitwa luck sabasaba aliwahi kutoa uzi humu juu ya jinsi Dubai wanavyouza vifaa vya ujenz kwa garama nafuu kabisa Mfano kitasa cha elfu 55 hapa Dubai ni 15 huu ni Mfano tu so sisi kazi hatujaanza Jana au Leo mkuu tuna miaka zaidi ya 8 sasa nimekupa mifano midogo tu ya kukusaidia karibu
 
Good idea..

Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...

Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..

Me thinks.
Ikiwa dar 32m ikiwa chato 32m
 
Ukikuta mtu analalamika sanaa ujue mfukoni hali sio nzuri, wengine wakiwa ktk hali hiyo huwa wanakuwa wakali sanaaaa, kama mbogo aliyejeruhiwa
Hahhahah Mungu atusaidie kwa kweli jua kali hela hakuna kwann mtu usidate...
 
Pole kaka usiwe na mawazo hasi kwa kila jambo naomba nikuulize Mfano kama mimi Nina kiwanda kidogo cha kuproduce mabati na misumari je unadhan bei ya bati kwangu itakuwa sawa na ya wewe unaenunua rejareja? Huo ni Mfano tu kuna mtu anaitwa luck sabasaba aliwahi kutoa uzi humu juu ya jinsi Dubai wanavyouza vifaa vya ujenz kwa garama nafuu kabisa Mfano kitasa cha elfu 55 hapa Dubai ni 15 huu ni Mfano tu so sisi kazi hatujaanza Jana au Leo mkuu tuna miaka zaidi ya 8 sasa nimekupa mifano midogo tu ya kukusaidia karibu
Mfano mzuri, kwa iyo bei itakua ngumu kama una kiwanda kwa sababu unatakiwa kukipa kodi. Kama hauna kiwanda sio tena ngumu, it's impossible kabisa. Sasa una kiwanda? Maana kama unatengeneza tiles, mabati na kama unatengeneza izo cladding materials itabidi uwe na Campuni kabisa. Maana kama una kiwanda cha kutengeneza hayo materials mwenyewe kwa ajili ya shughuli zako za ujenzi nakupa eco sana. Je, una kiwanda?
 
Asante sana kwa maelezo mazuri. Mikataba ya kisheria ipo? Je kuna insurance cover ya hela yangu kabla ya malipo? Je ninaweza influence ramani ya nyumba say vyumba vitatu ninavyotaka mimi au mna standard ramani? Kuna reference ya wateja ambao mmeshawafanyia kazi Mwanza na DSM?
 
Back
Top Bottom