Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

Asante sana kwa maelezo mazuri. Mikataba ya kisheria ipo? Je kuna insurance cover ya hela yangu kabla ya malipo? Je ninaweza influence ramani ya nyumba say vyumba vitatu ninavyotaka mimi au mna standard ramani? Kuna reference ya wateja ambao mmeshawafanyia kazi Mwanza na DSM?
Ndio mkuu tembelea www.one2onefocus.com utaziona
 
Habari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote

Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea www.one2one.com pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa

View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
Nyie mnafaidikaje?
 
Watu wajanja sana wanabadirisha tu aina utapeli..Mimi simo nyie tapeliweni vzr na mkija kulalamika jukwaani hapa lazima niwadhihaki. Loh! Eti tunashamba la miti, kiwanda cha mabati, mara machine ya matofari! Walahi mwatepeliwa ...
 
Kujiuliza na kutafakari ni kipande cha sehemu ya ukamilifu kiakili.We uwe unaenda kichwakichwa kila siku utakuja jibamiza mbele ya treni.If the man is genuine that is perfect. Wengine tulishaambiwa na babu zetu kitambo "for any sweet deal watch out with four eyes".
Achana nae akishalizwa atapata akili
 
Mleta mada hii imekaaje mbona hakuja hii website
e8d7f7d4f3a9c3bdc24b9b6887f1d94d.jpg
Umekosea sio www.one2one ni www.one2onefocus.com pitia hapo bosi
 
Watu wajanja sana wanabadirisha tu aina utapeli..Mimi simo nyie tapeliweni vzr na mkija kulalamika jukwaani hapa lazima niwadhihaki. Loh! Eti tunashamba la miti, kiwanda cha mabati, mara machine ya matofari! Walahi mwatepeliwa ...
Pole sana Dada usidhani kila mtu ni tapeli na ninaomba kwa yeyote atakaetapeliwa alete ushuhuda hapa na kuna project za member humu zimefanyika pia
 
Naona mkuu una tumia id nyingine kujipigia debe! Ngoja nyumbu waje ujifaidie
Mimi siwezi badil ID mimi ni member humu miaka mitano sasa na nimefanya biashara na wengi humu check my background before judge me
 
Good idea..

Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...

Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..

Me thinks.
Two-bedroom house huwezi kujenga kwa 32m ukiwa na kiwanja?
 
Hiyo mil.16 ambayo ni 50% inatosha kabisa kujengea nyumba ya ukubwa huo.. Kwa hiyo 50% ya pili ni ya usimamizi wa ujenzi tu... Teteteteeeh.. Hatariii.
Sio lazima. Kampuni inaweza ku top up then ukilipa balance wanapata na profit kutoka hapo, sio lazima down payment imalize project.
 
Gharama za ujenzi wa nyumba mpaka kukamilika inategemea na material yanayotumika pamoja na kiwango cha nyumba yenyewe. Ukisema unajenga nyumba kwa milioni 32 ya kisasa, ukapiga finishing ata ya third class kwenye nyumba ya vyumba vitatu yenye sebule, jiko, 2bathrooms na store pamoja na kufanya plumbing, wiring, wall finishing, floor na ceiling lazima utimie material ambayo ni very cheap sio kama yanavyoonekana kwenye izo picha zilivyopigwa kwenye bafu, wala cladding za iyo picha ya visualization. Itabidi mteja aweke assumption kwamba kiwanja ni chake alishanunua, tusifike mbali sana....I smell something fishy [emoji40] [emoji40]
Kasema 32m nyumba ya vyumba viwili.
 
Sio lazima. Kampuni inaweza ku top up then ukilipa balance wanapata na profit kutoka hapo, sio lazima down payment imalize project.
RRONDO asante kwa kunisaidia hiyo balance ya kumaliziwa inamaliziwa na kampuni wewe utakuja kumalizia baada ya nyumba yako kuwa tayari na ukisharidhika na ujenz na material zetu karibu tujenge
 
Watu wajanja sana wanabadirisha tu aina utapeli..Mimi simo nyie tapeliweni vzr na mkija kulalamika jukwaani hapa lazima niwadhihaki. Loh! Eti tunashamba la miti, kiwanda cha mabati, mara machine ya matofari! Walahi mwatepeliwa ...
Monicccaaaa.....am the last in the line
 
Kiwanja not included kiwanja ni chako sisi ni ujenz karibu sana
Hapo umesema ukweli maana hakuna nyumba nzuri namna hiyo ya milioni 32
hapa Dodoma tu Kisasa kiwanja milioni 16 bado wewe unataka 32 halafu unigongee matofali ya kuchoma bado fence
sijui tutakutafuta
 
Hapo umesema ukweli maana hakuna nyumba nzuri namna hiyo ya milioni 32
hapa Dodoma tu Kisasa kiwanja milioni 16 bado wewe unataka 32 halafu unigongee matofali ya kuchoma bado fence
sijui tutakutafuta
Naomba nikurekebishe kidogo bosi wangu fance not included
 
Andaa proposal na Aproach mabenk na mifuko ya hifadhi za jamii uuze huko kwa kauli mbiu ya miliki nyumba Dodoma usipange kwa muda mrefu. Utapata wateja mpaka ukimbie
 
Back
Top Bottom