Milestone Record: Uingereza alitawala 90% ya dunia.

Upo sahihi kuliko mleta Mada mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilihisi mashaka nayapata peke angu kumbe wengi[emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA NI ZAMU YA US, JAPO WATU HUMU HAWAKUBALI HILO. KAMA US ITAANGUKA LITAIBUKA TAIFA LINGINE NA LINAWEZA KUWA TISHIO ZAIDI. Ukweli Mchungu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo UK ilikua na nguvu gani mpaka itawale 90% ya Dunia kwa kipi kwa jeshi gani kwa man power ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
ulishawahi sikia WORKSHOP OF THE WORLD?..umesikia nchi ngapi duniani zikiitwa hivyo?..
Me nitakutajia nchi moja tu UNITED KINGDOM (UK)!.
Haya nitajie nyingine unayoijua wewe!. Thats how powerful once UK was mate!..
hivi unajua kabla ya hii internet kila kitu kilikuwa kinafanyikia kwenye Meli!?, kafuatirie nguvu ya UK kwenye Marine affairs!..
 
Hakuna aliyewahi kutawala hata 70% ya dunia ndugu.huyo UK mwaka gani ? katawala 90%

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna aliyewahi kutawala hata 70% ya dunia ndugu.huyo UK mwaka gani ? katawala 90%

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app

 
Hii ndiyo nini ndugu maana hapo naona alitawala asilimia 25 ya eneo na jumla ya asilimia 23 ya watu wote duniani.au wewe unaona wanasema katawala hata nusu ya dunia ?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
hio raman umeleta ni ya 1920's (kuanzia 1920)!.........


inawezekana uingereza hakutawala nchi zote hizo kwa wakat mmoja ila kinachosemwa ni kwamba amewahi kutawala 90% ya nchi zote duniani.......


mfano, nchi nyingi za ulaya miaka ya 1880-1950 zilikua na makoloni afrika, lkn na zenyewe hapo zilikua zimetoka kupata uhuru toka kwa mwingereza!......


ukichunguza hio raman yako haioneshi kama US amewahi tawaliwa na UK wkt amewahi..... actually raman yako inaonesha nchi za commonwealth
Hata nusu ya dunia hakuweza kutawala we mleta mada unasema asilimia 90.kweli bangi sio nzuriView attachment 1305935

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo wewe hamna aliewahi kutawala Ata 70% ya Dunia. Itakua HIO UK?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Epl, bbc, Reuters, sky news, Sky Sports, it's politics, entertainment industry (Adelle, Ed Sheeran, Elton John,), English language, English pound ,Oxford, Cambridge University, ukaid,etc

Proud to be United Kingdom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…