Tofauti ya USA na UK ni eneo lakini walioitawala hiyo USA wengi wana asili ya UK kuanzia kwa George Washington na wengin wengi waliokuja nyuma yake. Kumbuka USA pia ilitawaliwa na Britan ambayo ndio UingerezaKweli dunia ni duara, aliyetawala karibia dunia yote Leo hana ushawishi mkubwa kama aliokuwa nao, USA nae ajiangalie sana, unaweza shangaa Burundi baadae akaja kuwa mtawala wa dunia.
Tofauti ya USA na UK ni eneo lakini walioitawala hiyo USA wengi wana asili ya UK kuanzia kwa George Washington na wengin wengi waliokuja nyuma yake. Kumbuka USA pia ilitawaliwa na Britan ambayo ndio Uingereza
Ni itali au dola ya rumi?Naskia Italy kamtawala almost 100yrs
Labda miaka 100,000 ijayoKweli dunia ni duara, aliyetawala karibia dunia yote Leo hana ushawishi mkubwa kama aliokuwa nao, USA nae ajiangalie sana, unaweza shangaa Burundi baadae akaja kuwa mtawala wa dunia.
HII INADHIHIRISHA KUWA DUNIA LAZMA IWE NA MBABE ILI ITULIE. HISTORIA INAONYESHA DUNIA HAIJAWAHI KUKAA BILA SUPER POWER NATION. ZIMETAWAKA DUNIA: BABYLON, RUMI, UK NK. SASA NI ZAMU YA US, JAPO WATU HUMU HAWAKUBALI HILO. KAMA US ITAANGUKA LITAIBUKA TAIFA LINGINE NA LINAWEZA KUWA TISHIO ZAIDI.Kweli dunia ni duara, aliyetawala karibia dunia yote Leo hana ushawishi mkubwa kama aliokuwa nao, USA nae ajiangalie sana, unaweza shangaa Burundi baadae akaja kuwa mtawala wa dunia.
US zama zake zinapita mbona kuna Dragon anaamka on the Eastern sea board!..HII INADHIHIRISHA KUWA DUNIA LAZMA IWE NA MBABE ILI ITULIE. HISTORIA INAONYESHA DUNIA HAIJAWAHI KUKAA BILA SUPER POWER NATION. ZIMETAWAKA DUNIA: BABYLON, RUMI, UK NK. SASA NI ZAMU YA US, JAPO WATU HUMU HAWAKUBALI HILO. KAMA US ITAANGUKA LITAIBUKA TAIFA LINGINE NA LINAWEZA KUWA TISHIO ZAIDI.
Huyo Mchina bado ana safari tumpe muda! Japo huenda ikawa kweliUS zama zake zinapita mbona kuna Dragon anaamka on the Eastern sea board!..
Yeah bado hajafika ila kupitia mpango wake wa ONE BELT SILK ROAD anaweza kuja kuwa namba 1.Huyo Mchina bado ana safari tumpe muda! Japo huenda ikawa kweli
Mimi mwenyewe napata mashaka na huu utafiti90% ya dunia....napata wasiwasi na hizi data...walitawala eneo kubwa lkn hawakufikia asilimia 90...kipindi chao palikua na mataifa makubwa pia ambayo yalikua yanascramble kujitanua zaidi....wafaransa, wajerumani, spanish,russia empire etc.....ni kweli yeye ndo aliibuka kinara lkn sio kwa asilimia zote hizo
Mwingireza hakutawala eneo lote la usa Kama ilivyo Leo kina majimbo yalikaliwa na wahispaniolaTofauti ya USA na UK ni eneo lakini walioitawala hiyo USA wengi wana asili ya UK kuanzia kwa George Washington na wengin wengi waliokuja nyuma yake. Kumbuka USA pia ilitawaliwa na Britan ambayo ndio Uingereza
90% ya dunia....napata wasiwasi na hizi data...walitawala eneo kubwa lkn hawakufikia asilimia 90...kipindi chao palikua na mataifa makubwa pia ambayo yalikua yanascramble kujitanua zaidi....wafaransa, wajerumani, spanish,russia empire etc.....ni kweli yeye ndo aliibuka kinara lkn sio kwa asilimia zote hizo
Hebu pinga kwa facts, ilitawala asilimia ngapi kama sio 90%Mimi mwenyewe napata mashaka na huu utafiti
Hebu pinga kwa facts, ilitawala asilimia ngapi kama sio 90%
[/QUOTE2%