Hebu huyu hapa, chati nae kwanzaHivi mnampataje huyu mtu mimi nilichat naye zamani sana hadi no ya Simu alinipa akanisaidia jambo langu siku hizi namsaka simpati kabisa, labda Akio a uzi huu atanitafuta, nashukuru sana
Kama unataka top ya mkongo 600k, frem 400k.Habari zenu wanaJF
Kama kichwa cha habari, naombeni mwenye used au mipya milango na frame zake kama naweza kupata kwa bei nafuu, nipo Dar ES SALAAM mbezi kavu au kibamba.
Asanteni
Nakimbia 270k mkongo na 250k mninga, basi nijue wapi napata used kama hutojaliKama unataka top ya mkongo 600k, frem 400k.
Hizo ni bei ya top ya msederea.Nakimbia 270k mkongo na 250k mninga, basi nijue wapi napata used kama hutojali
Una hyo usedunataka milango bila kujali size, kama ndio njoo private