Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

Nimependa hili andiko nimefanikiwa kufika hii sehem Poland.
Umeelezea vinzuri Sana hakuna ulicho acha .
 

Juzi tu nilijaribu kurudia kuangalia mkanda wa Escape from Sobbibor (based on a true story). Unasikitisha sana. Huu hapa chini.

 
Holocaust didn't happen.Hitler couldn't gather so many Jews(more than six million,because 6m is a number of those killed,not captured) just in Europe in a short time.He didn't have the means.

Holocaust is meant to put Jews in a sympathetic position through the eyes of the world.
In other words holocaust was consipered in order to allow their brutal occupation of Palestine.

Kama unajua KISWAHILI...utukumbuke na sisi

Sent using Jamii Forums mobile app


Maangamizo hayakufanyika.Hitler hakuweza kukusanya Wayahudi wengi (zaidi ya milioni sita, kwa sababu 6m ni idadi ya wale waliouawa, sio waliotekwa) huko Ulaya kwa muda mfupi tu. Hakuwa na njia.

Utapeli wa enzi inasemekana kuwaweka Wayahudi katika nafasi ya huruma kupitia macho ya ulimwengu.
Kwa maneno mengine uporaji wa ardhi ulipewa dhamana ili kuruhusu makazi yao ya kikatili ya Palestina.
 
wanaunda new worl order
 
.mhhhh huyu jamaa aliekua anasema german ni superior race asee aliwateketeza wayahud wengi sana ahhh
 
I'm sorry sijawahi kuamini katika hii ishu ya hilter na wayahudi.............. may be kuna jambo kweli lilitokea lkn propaganda zimekua nyingi mnooo......


ni kama saizi wanavyotaka kuaminisha dunia et trump is a bad boy, wakati in reality wao ndio tatizo!
 
Ila wa Jerumani niwatu poa Sana tofauti na watu wanavyo waongelea vibaya ukibahatika kuaa nao niwatu Wanzuri Sana
 
Kumbe wa Afrika na roho zetu mbaya hatuwezi kuwafikia wajerumani, lol.
 
Nimefika hii sehemu Aisee Poland my dainik unaweza kulia historia ya hapo.njisi wayaudi walivyo kuwa wakiteswa kwenye Shawa za Gas.
 
Ila mayahudi ni watu wanafiki sana na watu wa propaganda sana.....Yesu alinusurika kuuwawa mikononi mwao.

Yesu hakuamini Kama Petro angemfanyia unafiki wa kiasi kile...
 
Up
Samahani ila achakuandika umende hapa...... Unaibuwa hasira kali....take care usishangae ukaswakwa mpaka ulipo nakupotea pasipokumbuka ulipost huu ujinga...

Wayahudi wana haki ya kuwa wakali na wakatili kwa mtu yeyote anayechezea sharubu zao.

Hao watu wamenyanyapaliwa na kuteswa sana.

Mungu ni mwema sana maana kawatetea kwa kuwapa roho ya ujasiri na uthubutu wa hali ya juu.
 

Conspiracy juu ya conspiracy
 
Nimefika hii sehemu Aisee Poland my dainik unaweza kulia historia ya hapo.njisi wayaudi walivyo kuwa wakiteswa kwenye Shawa za Gas.
Mkuu uzuri ww umefika. Naomna tu ukate mzizi wa fitina, je Urusi na Hitler nani aliyewatesa zaidi poland (Both Jews and non-Jews)? Maana naona kma maoni ya humu yanaangalia upande mmoja tu
 
King Leopold wa II aliua more than 15 mil. Congolease but not said as Hitler kuna tatizo mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…