Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

wao wanalipiza kwa wa palestina
 
Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Itakuwa safi sana mkuu ukija na Nondo hizo...Please kumbuka kuniita..
 
Up
Samahani ila achakuandika umende hapa...... Unaibuwa hasira kali....take care usishangae ukaswakwa mpaka ulipo nakupotea pasipokumbuka ulipost huu ujinga...
Unapata hasira kali na wewe utakua myahudi mweusi sababu ni mlokole.

Tumia akili yako kufikiria sio kila kitu unakubali kubali tu.
Wamtafute Ahamadnejad kwanza.Mi ni mdogo sana waanze na wakubwa.
 
niliwahi kuiona ile movie ya escape from sobibor nikilinganisha na hii story naona kuna vitu viingi kwenye movie havipo. yaani ule ukatili halisi waliofanyiwa jewish na dudj hitler haupo kwenye ile movie..big up mkuu kutupa yale ya chini ya carpet.
 
niliwahi kuiona ile movie ya escape from sobibor nikilinganisha na hii story naona kuna vitu viingi kwenye movie havipo. yaani ule ukatili halisi waliofanyiwa jewish na dudj hitler haupo kwenye ile movie..big up mkuu kutupa yale ya chini ya carpet.

Tupo pamoja sana ndugu.
 
Ooh my God, huwa natafakari binadamu aina ya Hitler kwa nini waliumbwa na Mungu akawaachilia kupata maharaja, dah! !!
 
mijitu katili zamani bwana siku hizi wanabip tu labla ya doctor Olimboka
 
Na si inasemekana kuwa Hitler alikimbilia Argentina? Baada ya kutafutwa sana baadae mossad walifanikiwa kumkamata
Ni kweli kabisa, pitia uzi wangu mmoja wenye heading Mein Kampf.
 
Ukitaka kumuua paka wako mpatie jina baya tu kama vile (paka shume) lakini ukimwita Bella, Angel, Princess ukimuua dunia nzima itakupa lawama juu ya kitendo cha kumuua huyo paka lakini watu wakisikia umemuua paka shume watakupongeza japo wote ni paka tu viongozi wengi wa ulaya walikuwa na beef na Adolf Hitler kutokana na misimamo yake na maendeleo aliyokuwanayo katika nyanja ya kielimu ,kisayansi ,kiuchumi na hii ni nature ya wajerumani si wavivu ktk kufanya kazi wajerumani ni (vifaru) ktk kufanya kazi ukilinganisha na mataifa mengine ya ulaya na pamoja na kupigwa na dunia nzima mwaka 1939-1945 leo ujerumani ndio inaongoza ulaya kwa uchumi mkubwa na maendeleo


Sasa bhasi kutokana na kutompenda Adolf Hitler ndo wakampa scandal hii ya mauaji ya wasrael milion 6 jambo ambalo ni uongo tena mkubwa sana na hii inakuwa publishing na walowezi wa kiyahudi duniani kwni wengi wamewekeza kwenye vyombo vya habari ,mabank, so ukuwa na vyombo vya habari ni rahisi kupeleka propaganda au uongo na kuonekana ni ukweli kwani wanasema media ni kama chakula kwa binadamu kwani binadamu tunategemea media kama vyanzo vetu vya habari na pia kuna media zingine zikisema jambo hata kama ni uongo inaonekana ni ukweli

Idadi ya waisrael Ulaya mpaka mwaka 1933 ilikuwa ni 9.5 milion wakati duniani ilikuwa ni 15 na kitu huku ujerumani idadi ya waisrael aikuwai kuzidi milion 4.5 huku waliokuwa wamefungwa kwenye hzo concentration camp ni
Auschwitz = 1.1 milion
Majdanek 60,000
Belzec 483,000
Sobibor 170,000
Treblinka 870,000
other camps 221,436

Mwaka 1985 wizara ya fedha ya ujerumani ilikuwa inatoa survior pension kwa wale waisrael waliokuwapo ujerumani na kupata madhala na utawala wa hitler na pia waliokuwapo ndani ya Germany ktk vita ya pili cha kushangaza maombi zaidi ya 6-7 milion yalitoka ndani ya israel pekee wakati takwimu zinasema ndani ya ulaya yote mpaka mwaka 1933 walikuwa awazidi 9.5 na Idadi ya waisrael nchini ujerumani haijawai kuzidi 4.5 milion kitu ambacho kilipelekea kufanyika uchunguzi wa ukweli juu ya madhila haya ya wajerumani na wasrael na kupelekea vyombo vya kijasusi vya israel,marekani na ujerumani kushirikiana ktk uchunguzi huo
BND,CIA, Mossad walishilikiana kuchunguza upya na majibu ya uchunguzi huo waisrael walikataa yasitoke kwani yangeushangaza ulimwengu

Idadi ya wayahudi dunian kuanzia mwaka 1929-1948
1926= 15,630,000
1936=15,753,633
1938=15,748,091
1940=15,319,359
1942=15,192,089
1947=15,688,259
1948=15,763,630

So ukiangalia idadi ya wayahudi duniani utakuta inacheza kwenye milion 15 toka mwaka 1929-1948 sasa kama walikufa milion 6 tena ndani ya Ulaya hasa Ujerumani kwa nini idadi ibaki hyo hyo 15? na wanasema walikuwa kuanzia mwaka January 30, 1933 – May 8, 1945


Kabla ya mwaka 1942 kulikuwa na idadi kubwa ya wahamiaji wa kiisrael wakihama kutoka nchi za GERMANY,AUSTRIA , Czechoslovakia, na nchi zote za Baltic states na idadi hyo inakadiliwa kufikia wayahudi 969,000
baada ya vita yani mwaka 1948-1970 waisrael 1,548,000 walihama kutoka Ulaya na kwenda US na takwimu za uhamiaji za US zinaonyesha mwaka 1943 wakimbizi zaidi ya 58,000 walikimbia na kukubaliwa kutoka Germany kwenda US

Adolf Hitler amekufa kifo cha kawaida na kwa amani kabisa nchini Argentina na kwa taarifa tu Argentina ndio nchi yenye waisrael wengi kuliko hata US so inamaana walikuwa hawajui kuwa Hitler yupo Argentina? na wao kujiona wana best Intelligence Agencies Mossad? naomba niishie hapo ingawa yapo mengi ya kuongelea
 
kwanza nikupongeze....kwa kuniwahi na swali ambalo nilikuwa najihuliza kila mstari niliokuwa nausoma..juu ya chuki ya hittle dhidi ya wayaudi...nashkuru umelijibu....andiko limeniuzunisha sana aisee daah...next nitag mkuu nyuzi za namna hii....

swali pasua kichwa:sasa kwa wakati wote huo wayaudi nchi yao ilikuwa ni ipi..???..ktk kuipanga hiyo mikakati ambayo ilikujakuwa chukizo kwa wanazi...maana miaka ambayo walikuwa wanafanyiwa hayo mauaji sikuwahi kusoma chimbuko lao hasa walikuwa wapi kabla ya kwenda eneo la mashariki ya kati na kujimegea sehemu ya wapelestina.....??..
 
hii issue ya waisrael mkuu na ulimwengu...kuna mambo ya siri kubwa sana imefichama dhidi ya wazayuni.....
kuna mambo yanajengwa kiasi yanatoa tafakuri mkanganyiko sana.......
kwanini hawakuwa na taifa rasmi mpaka wakalianzisha..???..
 
NEVER will it happen again/HAITATOKEA tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…