Milango ya kuelekea kuzimu kutokea duniani

Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
 
Mkuu hakuna mwanadamu yeyote ambae angeweza kusahau na kusamehe mauaji ya holocaust. Ni Mungu tu ndio anaweza kusamehe.
Nitakuja na uzi kuelezea hatua zilizochukuliwa na Myahudi baada ya holocaust.
Ahsante
Natamani Uzi mwingine nisiukose
 
Jews ni watu wa strategies!! Well calibrated minds!
 
Shukrani mleta uzi....tunasomea historia hapahapa
 
Guda guda jamaa mm nilipata documentary yake ila imeficha mambo mengi hapa umeeleza mambo mengi safi mzee
 
Vipi mbona wamtajae kama mtetezi wao aliwaacha mpk wakafika million 6!!

wayahudi walikuwa wanakaa israel kipi kiliwapeleka ujerumani..?
lazima kuwe na walakini hapa wenyewe wamekuwa ni watu wakukatalikataliwa tu!
 
Up Samahani ila achakuandika umende hapa...... Unaibuwa hasira kali....take care usishangae ukaswakwa mpaka ulipo nakupotea pasipokumbuka ulipost huu ujinga...
 
Vipi mbona wamtajae kama mtetezi wao aliwaacha mpk wakafika million 6!!

wayahudi walikuwa wanakaa israel kipi kiliwapeleka ujerumani..?
lazima kuwe na walakini hapa wenyewe wamekuwa ni watu wakukatalikataliwa tu!
Mkuu kama umesoma vizuri uzi kuna sehemu nimeandika Wayahudi walisafirishwa kwa treni za mizigo kutoka nchi mbali mbali za ulaya ambazo Hitler alizivamia.

Pia wayahudi walishikilia sekta ya fedha kuanzia chini hadi juu, tuseme kama wahindi au wanaijeria miaka ya leo (wapo kila sehemu), hivyo walitapakaa Ulaya nzima hasa Ujerumani ambalo lilikuwa moja ya taifa lenye uchumi wa juu miaka ya 30.
 
Sasa mkuu kama Director akiamua kumuuwa stelingi kutakuwa na movie tena hapo?
No, issue ya kihistoria hatutafuti mshindi inatakiwa iendane na uhalisia nani alifanyaje na ikaweje, mfano mzuri TITANIC huoni mle director alichezesha vizuri?
 
Dah inahuzunisha sana binadam bhana kweli ni wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…