Milango ya chuma na uimara wake

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,124
Reaction score
895
Wadau wa ujenzi,

Katika pitapita zangu, nimeona kuna milango ya chuma lakini ukiiangalia ni kama wa mbao. Naomba kujua uimara wake ukoje, nimeona milango hii mingi ya China, nami vitu vya China siviamini sana.

Kwa anayeijua milango hii, naomba anipe uzoefu wake.
 

Mkuu me nadhani siku zote chuma ni imara.
 
Mkuu me nadhani siku zote chuma ni imara.

Kuna wakati vitu vigumu vinakuwa na weakness za ajabu. Mfano kisufuria kinaonekana imara kuliko bakuli la plastic lakini kisufuria hiko hiko ukikiekea vitu vikali kama haya matunda passion basi kinaweza kutoboka hapo hapo.

Hata mlango WA chuma unaweza sema Ni imara kuliko mbao ila mvua kidogo na jua kidogo tayari utatoka kutu.
 

Nimekuelewa mkuu Chief-Mkwawa, ngoja tusubirie wadau ambao wamewahi kuitumia waje watupe mrejesho.
 
Last edited by a moderator:
Mi nadhani utauona uimara wake pale inapotokea janga la moto na unataka kutoka au kuingia kwa njia ya vunjavunja!
 
Ile milango inashika kutu halafu lock zake zikianza kusumbua utajuta kwa kifupi haitaki shulba maana mie kuna ndg yangu ameweka kwenye nyumba yake milango imeanza kusumbua kabla nyumba haijaanza kutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…