Mila Potofu

Aaah
Hizo ni theory tuu unazisoma darasani tu ufaulu
Hata USA kwenyewe hawafanyi wanayo yaongea. Wana miaka 200 hawajawahi eka rais mwana mke awa amulie mambo
Tuache habari ya nadhalia tuje katika uhalisia .... hv kwa nini umuamulie mwanamke kila jambo .... don't they having the rights to participate in decision making or making their own decision?
 
Tuache habari ya nadhalia tuje katika uhalisia .... hv kwa nini umuamulie mwanamke kila jambo .... don't they having the rights to participate in decision making or making their own decision?
Tatizo mkiachiwa mfanye maamuzi wenyewe ndio vile mnakula hata matunda yaliyokatazwa
 
Hii yanikumbusha story ya "Three Suitors One Husband" ... mwandishi Oyono G. Mbia anaandika .... " ... since when do women speak in mvoutessi?

Wa jinsia ya kike wote walizibwa midomo to be able to express their feelings and give their opinions .... lakn Juliette akapangua huo mtazamo
Mkuu umemalza form Juz nin?unakumbuka yote ayo! @Mvoutess
 
7189896d6dcfb91b4fcc90ee6da6c22d.jpg
Inaonekana huyo Mama ni sawa na upinzani,,,
 
Tatizo mkiachiwa mfanye maamuzi wenyewe ndio vile mnakula hata matunda yaliyokatazwa
Point of correction: .... sema .... wakiachiwa (wanawake) mtoa mada si jinsia hiyo .....

by the way picha haimuoneshi mwanamke akiamua pekeake bali wako kikaoni lakini mwanamke kazibwa mdomo asiongee kabisa ...
Na kama akiamua pekee then akavuruga ndiposa alaumiwe ama kuhukumiwa kwa hilo alotenda .... but si kufungwa mdomo kabisa .... sometimes they've got educative & productive ideas/opinions
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom