Mila Potofu

Tuache habari ya nadhalia tuje katika uhalisia .... hv kwa nini umuamulie mwanamke kila jambo .... don't they having the rights to participate in decision making or making their own decision?
Wanawake wana amua mambo yao sana tuu, isipo kuwa kama
Ameolewa
Anaishi na mzazi wake
Bado mwananfunzi
 
Unajua ni kwanin
Isiwe vita Aishah ..... by the way i'm sorry ...nngejua wala nisingeuliza .... mie mwenyewe nmeianzisha hii thread nikionesha kuwa against na mila potofu ya kufungwa midomo akinamama/dada na kunyimwa fursa ya kutoa maoni/ushauri .... kama nngejua maana yako wala nsingekuuliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom