Kwani Nairobi mbali? Nenda hospital aliyolazwa kaulize gharama ya matibabu. Risasi 38 kwenye mwili wa binadamu unadhani ni mchezo? Watu hufa kwa kuchomwa kisu tu. Wewe kujali gharama za matibabu badala ya uhai wa mtuWahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Huyo bwana atafungwa Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020.Tunasubiri kuona mkimfikisha mahakamani..... if you guys could dare maana unajua alifuata maagizo ya nani.... otherwise you have auditory hallucinations and circumstantial thinking disorder...
ukijua alf una fanya nnVimada walikua wengi mahotelini lazima tujue kama zilitumika kwa makusudi yaliokusudiwa!
Utaona hatua gani inafuata!ukijua alf una fanya nn
Umechangia kiasi gani?Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Si lissu yule tuliomzoea:niimekuu maneno ya katibu mkuu wenu!
Mimi ni ccm lakini kwa yeyote anayehoji gharama za matibabu ya Lissu naomba atembelee tu pale Agakhan ya sea view Dsm akajifunze!! Kama umezoea kutibiwa Sinza palestina walipokuwa wanafagia wafungwa Mramba na Yona ni lazima mil ,400 ikutishe lakini ukimsimulia mtu kama Mwakiembe atakucheka tu na kukupuuza!!Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Vp umeomba risiti ya bombardier????????Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Umepost kiuoga sana!Mimi ni ccm lakini kwa yeyote anayehoji gharama za matibabu ya Lissu naomba atembelee tu pale Agakhan ya sea view Dsm akajifunze!! Kama umezoea kutibiwa Sinza palestina walipokuwa wanafagia wafungwa Mramba na Yona ni lazima mil ,400 ikutishe lakini ukimsimulia mtu kama Mwakiembe atakucheka tu na kukupuuza!!
Kwani ulishaonyeshwa waliompiga risasi?!.. najua habari ya Lissu kuendelea vema imewachefua sana familia za watu wasiojulikana..Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi
Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!
Tusiogope kuhoji!
Niogope nini?!! Hapo Agakhan sea view bill za mil 100 hadi 200 kwa wenye bima nene mbona kawaida sana!Umepost kiuoga sana!
Chuma kimepona... hata kingetumia 100M kwa siku sisi hatujali...Mimi ni mtanzania!
Sisi tupo tunafuata maneno ya katibu mkuu wenu!Chuma kimepona... hata kingetumia 100M kwa siku sisi hatujali...
Sasa subirini dawa iwaingie utosini...