Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,073
15,921
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
 
Hata ingekuwa milion 200 kwa siku hakuna shida cha muhimu ni matibabu ya kweli yasiyo na nafasi ya hujuma za Bashite na kikundi chake cha Nissan nyeupe, rist utapewa na hata ukipewa utakuja na mengine maana tayari umepandikiza fikra mbaya.
 
Ni lazima tujue na kuhakikisha pesa imetumika kwa matumizi yale yale!
 
Siku hizi Magu kabana watu.Ndio maana hatusikii yale mambo ya operation Sangara wala M4C.

Kwahiyo chama kinatakiwa kutumia matukio kama la kushambuliwa kwa lisu kujiinua kisiasa na kiuchumi.
 
Back
Top Bottom