Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

Pale pesa iñapochukua nafasi ya akili huondoa utu kabisa, nakupa pole tu mtoa mada maana lengo lanu limefail, watoa michango Wanachotaka kuona ni Kiongozi wao amepona na kuona anarudi
 
Kikubwa hali ya lisu imeimarika na kikubwa ni uhai wake....pesa ni makaratasi hata ziliwe hainiumi roho
WEWE MWENYEWE UMECHANGIA NGAPI!!!!
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Kwani Nairobi mbali? Nenda hospital aliyolazwa kaulize gharama ya matibabu. Risasi 38 kwenye mwili wa binadamu unadhani ni mchezo? Watu hufa kwa kuchomwa kisu tu. Wewe kujali gharama za matibabu badala ya uhai wa mtu
 
Watu wanapiga pesa ya vichwa vya train ambavyo mmiliki hajulikani ijekuwa matibabu
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Umechangia kiasi gani?
Ndiyo nyie akina mapato na matumizi. Matumizi kwenye hela isiyokuhusu
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Mimi ni ccm lakini kwa yeyote anayehoji gharama za matibabu ya Lissu naomba atembelee tu pale Agakhan ya sea view Dsm akajifunze!! Kama umezoea kutibiwa Sinza palestina walipokuwa wanafagia wafungwa Mramba na Yona ni lazima mil ,400 ikutishe lakini ukimsimulia mtu kama Mwakiembe atakucheka tu na kukupuuza!!
 
Vp umeomba risiti ya bombardier????????
 
Kama unaona ndogo sana mpeleke mgonjwa wako Aghakhan ya hapo baharini kwa ishu critical alazwe wiki ijayo leta mrejesho. hivi mkikaa kimya wakati mwingine midomo itanuka????
 
Mimi ni ccm lakini kwa yeyote anayehoji gharama za matibabu ya Lissu naomba atembelee tu pale Agakhan ya sea view Dsm akajifunze!! Kama umezoea kutibiwa Sinza palestina walipokuwa wanafagia wafungwa Mramba na Yona ni lazima mil ,400 ikutishe lakini ukimsimulia mtu kama Mwakiembe atakucheka tu na kukupuuza!!
Umepost kiuoga sana!
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Kwani ulishaonyeshwa waliompiga risasi?!.. najua habari ya Lissu kuendelea vema imewachefua sana familia za watu wasiojulikana..
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom