Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

Ni kweli mkuu lakini lazima tuhoji kuna michango mingine imechangwa kimya kimya na unajua wazee wa kuongeza mahesabu na kujifanya walikopa pesa kwa riba zinatakiwa kurudishwa!
Mwenyekiti ataendelea kula bata tu, akiona ansishiwa anatengeneza event nyingine itakayozalisha mpunga
 
Uonyeshwe wewe kama nani? Tuliochangia hatuhitaji rist tunchohitaji ni Lissu kupona tu
 
WATU WANAPIGA PESA ZA RAMBI RAMBI ITAKUWA ZA MATIBABU?
Kaulize kwanza pesa za rambi rambi zimerudi???

Nyie vijana wa Lumumba watu wa ajabu sana. Watu wanajaribu kumuombea apone na tupate majibu ya nani alihusika, nyie mnakuja na vioja vya ajabu kabisha, utafikiri ndo mnatoa hiyo hela. Si ajabu hata kuchangia hujachangia hata senti tano.
 
Kwanza mnaohoji matumizi hamkutoa hata senti tano, tuliotoa hatuhoji chochote hadi mgonjwa wetu apone. Tunajua hasira zenu ni lissu kuwa hai leo. Roho zenu ni za kumwaga damu na ndio kazi ya shetani mnaemtumikia. Ila tambueni kuwa Mungu yupo na kiyama kipo.
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Hatuhitaji kujua Kama unatumika, waliotoa michango hawajadai risiti iweje upewe wewe changu..?
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
We ulitoa hiyo hela hadi ikuume, au mlitaka mpige kama ya rambirambi ya watoto wa arusha, eti uonyeshwe rist we kama nani sasa
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Kawahoji walio agiza vichwa vya gari moshi na kuviingiza nchini alafu wanatufanya watanzania malofa kwa kujifanya hawajui anaye vimiliki
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!

Ndiyo nyie mnaodhulumu hata Maiti au marehemu.Hatuhitaji Risiti wala report tunahitaji Lissu mwenye afya njema
 
Back
Top Bottom