Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

Mimi ni mtanzania!
Wewe mrundi nakushauri ukamhoji nkurusinza juu ya huu ukimbizi wenu wa kutengeneza!
Ulichangia shilingi ngapi wewe mpiga marktime wa lumumba? Uwe basi unajenga hoja zenye kutuunganisha na ujenzi wa viwanda badala ya huu upuuzi wako uliokaa kama ushuzi wa kunde!
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!

Na bado mtaweweseka sana.
Mungu amewaumbua,na soon "Jemedari" Lissu atakuwa barabarani tena..poleni
 
. Mmerudi tena. Kuna MTU Mishipa ya shingo ilimtoka Akitaka Picha ya lisu. Sasa hivi, mmekuja na gharama za matibabu.
UMEMCHANGIA LISU SHILINGI NGAPI?
ulikwenda Nairobi kuulizia gharama zake za matibabu pale hospital?
 
Milion 10 unaumia je mjomba ako aliepewa 420 bilion mbn hazikuumi pia kuna bibi ako alisema 10milion kwake ilikua ya mboga
 
Kipara kameze tu panadol ndg yangu ushushe homa maana najua hata ulivyokua unaandika nafsi yako ilikusuta.

Aibu yenu boss!! Kila plan mnaumbuka ujue
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!

Walipata kusema Kipara ni dalili ya kuwa mwingi wa Hekima na Busara, Ila hiki Kipara chako ni dalili ya Hasara kwa Taifa
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!

Sadaka haidaiwi risiti wewe. Kwani wale wadunguaji wenu mliwalipa per diem au 10m each for a failed job? Waambieni warudishe haraka hiuo pesa!
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Utu wa mtu ni bora kuliko pesa, hata ikitumika 100 ni sawa tu as long as anapata nafuu na mwisho wa siku ataendelea na majukumu yake
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!

Mtu kakamuliwa magazine nzima ya ak47 ulitaka atibiwe kwa shillingi elfu ngapi? Kamuulize reagan alivyogongwa na risasi moja tu ya kabastola alitibiwa shillingi ngapi. Au nenda kasome kennedy alipogongwa risasi mbili tu alipona kiasi gani na alilipa bei gani hospitalini ili afe kwa majeraha yake.
 
Hustahili dhihaka yoyote. Si kosa lako kutokana na mazingira ya hospitali zetu nchini.

Kama umewahi kuwa na mgonjwa ICU nje ya nchi utaelewa. Milioni kumi kwa siku ni sawa na $4000. Hapo hujaweka gharama nyingine za kutunza mgonjwa na deposit kabla hata ya mgonjwa kupokelewa.
 
Kiwe kiasi kingi kwa saa nini siku,inakuhusu nini ? ccm wala hamuombwi kuchangia,wauwaji nyie wachaniaji nyie itawezekanaje ? Tuachieni mgonjwa wetu,watangazaji wetu kiwango ambacho hakikupendezi,wachangiaji bado nia yetu IPO palepale,hatukatishwi tamaa na mchawi,mfa Maji wa ccm.huo wote ni wivu,ukidhani utawakatisha watu tamaa kuchangia tiba ya ilsu ili afe,ccm ishangile.Mungu atawashangaza,mpaka mtawageukia mliowatuma kumuwa Lisu, na mtawauwa wao,na mtajiua na nyie.mnaona hili jambo kama mmemkomoa Lisu,kumbe mmejaribu kumkomoa Mungu ! Sasa jiandaeni,mmnachambia makali ya panga,matokeo yake tunayasubiri,manake hayatakua ya siri !
 
Madiwani wananunuliwa kisha uchaguzi unarudiwa kwa gharama kubwa bila msingi sembuse pesa inayotumika kuokoa uhai wa mtu,hata kama kuna ufisadi acha Mbowe ale tu,maana nyingi tu zinaliwa na hamhoji.
 
Mtoa mada kauliza swali la msingi kabisa ila kutokana na ushabiki wa uvyama naona watu bovu linawatoka huku wakishindwa kujikita kwenye mada. Tuliambiwa kuwa Mh Lissu angeweza kutibiwa ktk hospitali zilizopo ndani ya nchi ila kilichopelekea kusafirishwa nchi jirani ni hofu waliokuwanayo viongozi wa CDM juu ya usalama wa Lissu, swali ni je inakuaje tunaletewa gharama ya zaidi ya milioni 412 kwa kipindi kisichozidi miezi miwili? Ilihali kila siku walikuwa wakituaminisha kua Lissu anaendelea vizuri huku gharama zikiendelea kuongezeka. Kwa tatizo alilopata Lissu na gharama za matibabu zilizotumika ni vitu viwili tofauti kabisa kwa kifupi ni kwamba hakuna uhalisia. Viongozi wa juu wa CDM wakiongozwa na mwenyekiti wao tunaomba ufafanuzi juu ya matumizi hayo wakiambatanisha na risiti. Nimeumia sana kwasababu ni mmoja kati ya watu waliochangia pesa ili kuokoa maisha ya Mh Lissu.
 
Unadhani matibabu ya VIP ni bei nyepesi au sio? Tena nje ya nchi..

Kama hapa Tz tu ka zahanati ka private unakuta consultation fee tu ni 30,000/=, bado vipimo na matibabu... Sembuse hatari ya lissu kutibiwa nje ya nchi kwa Gharama ndogo hivyo inakushangaza?
 
Back
Top Bottom