Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

waulizee ccm zile pesa za maadhimisho ya uhuruu walizosema ikajenge barabara ya morocco mwenge na zilizotolewa na ubalozi wa JAPANA
Na inakuuma nini na hukuchangaaa mdomo mrefuuu tu wewe acha kuwa kama wanaweke au wee ni mwanamkee
 
Wahenga walisema kufa kufaana usemi huu unakamilika hapa kwa jamaa waliochukua mgonjwa na kumpeleka nchi jirani na kutuletea gharama za matibabu ukiangalia kwa undani kiwango kilichosemwa ni kingi sana mpaka inapelekea kunusa harufu ya ufisadi

Tutaamini vipi tunaomba tuonyeshwe rist za matibabu kuliko kupewa hesabu ya jumla!

Tusiogope kuhoji!
Lazima muweweseke, mtu mliyetaka awe kaburini sasa hivi mzima anaongea, lazima mtaweweseka zaidi ya hapo, binadamu mwenzako unamfanyia ufirauni kaa huo khaa!!
 
Back
Top Bottom