Mikutano ya siasa mwiko!

ukiwa kamanda usiwe mwoga km kunguru! Mapambano yanaendelea m4c 4 life
na familia ya yule jamaa alieuwawa itaangaliwa na nani? Au na wao waende kwa wananchi kama alivyo ambiwa mgombea wenu wa igunga. Vijana wetu sijui wataamka lini,wanatumiwa kisiasa na wachache wenye uchu wa madaraka.
 
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.


R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.

These types of statements ca only be delivered by those who are cowards or those who are puppets of CCM and their killing people with an intent to intimidate and scare others to attend CHADEMA Rallies. These types of cowardice minds will all fail because when people have nothing to lose taking their lives will not hamper their good intention of demanding really changes to how the country is run.

Kill them today but be prepared for Justice Tomorrow!.
 
Aiseee babaangu mtoa madaa nadhani ujielewi,,unaogopa kufa penda usipende utakufa 2 kama si kwa kugongwa na gari basi kuuwawa na wezi so hacha kuwa mwoga
 
mandela kaka jela 27yrs,sasa anaheshimika kuliko hao walionyanyasa kama wafanyavyo ccmpolisi
 
Hakuna kusimama Makamanda wakweli wanasonga mbele. MUNGU ndiye KIONGOZI wao.
Leo nimeshangaa kukuta tangazo kubwa katikati ya jiji Dar es salaam linasomeka hivi JE, WEWE NI MWANAUME WA KWELI? Naomba tuligeuze lisomeke hivi JE, WEWE NI KAMANDA WA KWELI??
 
Msiache kwenda jamani, tena fanyeni fujo,mkipigwa risasi CDM italea familia zenu,2016mtawekwa kwenye vitabu vya historia ya Tanzania kuwa mlipigania uhuru .Popo bawaaaaaa, samahani nimekosea kidogo pipo pawaaaaa
Nasikia harufu kaliii ya GAMBA LA KENGE!..............
 
Back
Top Bottom