Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

Mikutano ya CHADEMA yadoda Iramba

Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.

Bwana Shelui, kwanza nataka kukwambia kuwa mie sio mwanachama wa chama chochote na usijenifikiria kuwa naongelea ushabiki kama ulivyopost wewe uzi huu, kwa bahati nzuri sana mie nilikuwepo kwenye mkutano uliofanyika katika kijiji cha Nsunsu ambacho wewe umesema kuwa ni mojawapo ya vijiji ambavyo mikutano ya mkumbo haikuwa na watu, ukweli ni kuwa kwa haraka haraka mkutano ule ulikuwa na zaidi ya watu 150 na kama hao uliona wachache basi sema ulitaka wawe wangapi ndo ukubali kuwa ni wengi. Vinginevyo nashawishika kuamini kuwa umesimuliwa na watu waliokuwepo eneo hilo wenye mtizamo kama wako. kimsingi watu walikuwepo wengi na wa kutosha kufanya mkutano wa hadhara katika kijiji hicho, vijiji vingine siwezi kuzungumzia kwa sababu sikuwepo.
 
wengine hawa hapa wanaoifanya mikutano ya ccm Iramba isidode

1011809_637127972988298_439073146_n.jpg
 
Acha uwongo wewe! Chadema kiboko yenu!
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
 
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
habari za majungu haziwezi kukutoa kisiasa njaa tupu, weka ushahidi wa picha tujionee au ndo unaona aibu
 
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
Pole sana Shelui kwa kujikomba kwa Wachaga. Hawana shida na watu wajinga kama wewe. Endeleza dhana yako ya ukabila wakati watu wastaarabu wakiangalia mustakabali wa
taifa letu. Pengine ungeenda shule hata kidogo ungekuwa na busara. You cannot expect much from a F4 leaver. Shame!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wengine hawa hapa wanaoifanya mikutano ya ccm Iramba isidode

1011809_637127972988298_439073146_n.jpg

Eeh! Hi ni aibu na tena ni matusi. Haya bana! Watu wazima na akili zao. Hakika aliyesema mtu mzima hovyo hakukosea.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
Ujinga mtupu.. Vijijini tunahutubia watu kumi wewe unashangaa 45?
 
Shelui=Mwigulu endelea kupiga ramli!:yield:
 
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.

Kwa maneno hayo unakosa pa kusimamia kama huna picha .Kwa roho yako kama ya Mwigulu Chadema kukosa watu nawe upo na unajua yhe rules of the game at JF you would have supported your claims by photo's .Now do you have them ? Hook them on .
 
Endelea kujidanganya. Ukweli mnajua kuhusu kazi tuliofanya. Hali ya mb wenu ni mbaya kwa wananchi na hata ndani ya chama chenu. Kilichotugusa zaidi ni akina mama kununua kadi za cdm kama njugu. Kitaeleweka!
 
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.

Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.

Huyo ndiye mbunge wa Iramba magharibi kuanzia november 2015, anaitwa kamanda David Joseph Djumbe. Kwahiyo ni muhimu ukaanza kujiandaa kutafuta ajira kwakuwa hii ya ubunge umefikia kikomo.
 
Endelea kujidanganya. Ukweli mnajua kuhusu kazi tuliofanya. Hali ya mb wenu ni mbaya kwa wananchi na hata ndani ya chama chenu. Kilichotugusa zaidi ni akina mama kununua kadi za cdm kama njugu. Kitaeleweka!

Kamanda Kitila Mkumbo mimi nawapongeza sana kwa kazi nzuri sana mliyoifanya wilayani Iramba. Mimi binafsi ninamfahamu sana kamanda Djumbe nimesoma nae tangu sekondari Moshi Tech. hadi Chuo cha DIT.

Ni kamanda mwenye uwezo mkubwa na nguvu ya kufanya kazi ya siasa hasa katika wakati huu ambapo tunahitaji wananchi wote wa Tanzania watambue kwamba bila ccm kuondoka madarakani hawatajikwamua kimaisha na watabaki masikini maisha yao yote pamoja na kuwa na lundo la rasilimali za asili.

Kazi mliyoifanya imeonekana na mwigulu nchemba amekuwa akiwafuatilia hatua kwa hatua, na thread hii ameianzisha kwa lengo la kujaribu kuhadaa watu na kujitia upofu yeye mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Endelea kujidanganya. Ukweli mnajua kuhusu kazi tuliofanya. Hali ya mb wenu ni mbaya kwa wananchi na hata ndani ya chama chenu. Kilichotugusa zaidi ni akina mama kununua kadi za cdm kama njugu. Kitaeleweka!

Utakiona Dr Kitila tusubiri 2015 utakua mbivu na mbichi lakini kwa Mwigulu moto wake unaujua. Kwa wewe hata round ya kata tatu hufiki utakuwa umeshanyosha miguu. Tena kwa kuanzia tutaanza kwenu Mingela maana hakuna ulichokifanya pale zaidi ya kuzaliwa
 
Endelea kujidanganya. Ukweli mnajua kuhusu kazi tuliofanya. Hali ya mb wenu ni mbaya kwa wananchi na hata ndani ya chama chenu. Kilichotugusa zaidi ni akina mama kununua kadi za cdm kama njugu. Kitaeleweka!

wape wape eeh vidonge vyao wakimeza wakitema ni shauri yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom