Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Kila sehemu wanakataliwa sasa dar nasikia ni aibu hata hai wameanza kujadili ngoja tuone watatokea wapi.
Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.
Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
Kila sehemu wanakataliwa sasa dar nasikia ni aibu hata hai wameanza kujadili ngoja tuone watatokea wapi.
Utakiona Dr Kitila tusubiri 2015 utakua mbivu na mbichi lakini kwa Mwigulu moto wake unaujua. Kwa wewe hata round ya kata tatu hufiki utakuwa umeshanyosha miguu. Tena kwa kuanzia tutaanza kwenu Mingela maana hakuna ulichokifanya pale zaidi ya kuzaliwa
Mi siyo mbunge ni mwananchi wa kawaida