Mikutano ya CHADEMA nchi nzima inaboresha mapungufu ya Oct 29

TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Mbona umeandika mambo ya kufikirika na kusadikika ndugu mleta mada? Chama mlikizuia kushiriki kwa kuwa hakikusaini kanuni za maadili katika uchaguzi, mliwafunga Heche na Lissu, na kumtumia Issa Mpemba kuweka zuio mahakamani ili chama kisikutane na wananchi wake. Sasa huo ushiriki wa kufanya fujo walifanya wakiwa jela ama wakiwa na pingu? How?
 
Nani kawazuia wasisaini kanuni za maadili. Mwenyekiti wao aliwaambia kila anaetaka kugombea asahau, nani wa kulaumiwa. Hakuna taasisi kubwa nchini inayoizidi serikali. Kama wanadhani serikali ni ndogo kuliko kikundi chao hapo ndipo patashika kali sana mitaani itakapoanzia. Nikwambie kitu kaka watz hawako tayari kufa kwasababu ya Lissu, na kama unabisha hebu waitishe maandamano waone.
 
Nani ana ubavu wa kuuza bandari, nani mjinga anakubali kununua bandari. Mnaaminishwa ujinga.
 
Sasa Tanzania Ina rasilimali Gani ambazo hazijauzwa Bado kwa wageni? Unapigia kelele vitu ambavyo vinajulikana? Nani aliuzwa buzwagi na migodi yoote hapa Tanzania? Ni wqpinzani au ccm?
Wewe umeuza mpaka bandari unabwabwaja ujinga tu?
Ile gesi ya mtwara mlikopoga watu mabomu , ngorongoro na kwinginepo inakusaidia nn wewe
Kakaa, hatuchezi na nyani kwenye visingizio vya haki na demokeasia.

Hebu wewe fikiria sisi wote 6 ni watoto wa mzee Mahimbo, wasichana 5 na mvulana 1, tumezaliwa baba mmoja mama mmoja. Baba yetu kafa kaacha nyumba na mashamba . Wakati wa kugawana urithi wa marehemu baba yetu mali zooooote hizi anapewa kaka yetu amiliki yeye na mkewe na watoto wake sisi 5 wote tunaambiwa twende tukajitafutie huko mbele ya safari. Baada ya huyu kijana kupewa mali zooote hizi za mzazi wetu anatokea barabarani na kusema "piiiiiiipooooozi, haki sawa kwa wote", tunaandamana kwenda Ikulu kudai haki ya kutukana na uonevu.

Bahati mbaya sana hata hawa mabinti 5 mmoja ni profesa lakini nae kanyimwa ardhi ya wazazi wake na binti mwingine ni mwanaharakati wa haki za binadamu pale Kijitonyama karibu na Hongera bar. Ni upuuzi mtupu.

View: https://youtu.be/W7kQy8pmrck?si=mC1Zx0gIC88Zkans
 
Mpumbavu nini kuwaaminisha vijana kuwa Tundu Lissu akiwa Ikulu vijana watakuwa peponi. Ujinga kama huu waliufanya wahuni kule Libya, Iraq, Somalia, Sudani Kusini na Sudani Khartom, Liberia, Malawi na Kenya. Hali zao zimezidi kudidimia baada ya kubadilisha vyama na viongozi.
Watu wanataka uchaguzi huru, katiba mpya ya kulinda haki za watu,watu wamechoka ufisadi, utekaji, mauaji na kuibiwa kura zao etc haki kwanza maendeleo yatakuja kama haki ipo, mnajitangaza kwa ushindi wa 98% wizi wa mchana halafu unatutisha na vita vya Liberia, huna akili wewe
 
Watu akina nani, wako wangapi, wako wapi na mlikutana nao wapi? Tuache kuwasingizia watu ambao unafanya kazi ya kuwahamisisha ili wakuelewe unachosema. Watu wetu wengi hawaijui hata hiyo katiba yenyewe wala hiyo haki unayosema wanaikosa. Mtu mwenye maumivu haambiwi na mtu toa machozi, atalia yeye mwenyewe.

Kama hiyo haki wanaitafuta kwa kuchoma moto nchi yao basi hiyo haki sio haki bali ushetani.

Huwezi kuniambia mimi niandamane hata ikibidi kufa ili Lisu awe huru wakati watoto wake hawamo kwenye maandamano hayo hatari kwetu. Mnatuona sisi maboya? Hata akiwa huru sisi tutapata nini?
 
Mbona umeandika mambo ya kufikirika na kusadikika ndugu mleta mada? Chama mlikizuia kushiriki kwa kuwa hakikusaini kanuni za maadili katika uchaguzi, mliwafunga Heche na Lissu, na kumtumia Issa Mpemba kuweka zuio mahakamani ili chama kisikutane na wananchi wake. Sasa huo ushiriki wa kufanya fujo walifanya wakiwa jela ama wakiwa na pingu? How?
Si mnasema walioandamana wote walikufa?
 
Watu wanataka uchaguzi huru, katiba mpya ya kulinda haki za watu,watu wamechoka ufisadi, utekaji, mauaji na kuibiwa kura zao etc haki kwanza maendeleo yatakuja kama haki ipo, mnajitangaza kwa ushindi wa 98% wizi wa mchana halafu unatutisha na vita vya Liberia, huna akili wewe
Ni mikutano ya kuwaandaa watu waandamane wengi. Ni mikutano ambayo chadema wanawabeza na kuwadogosha viongozi wa serikali na polisi ili watu wawadharau. Kama ukishamdharau polisi na viongozi maana yake nchi haitawaliki tena, hakuna kiongizi hakuna ulinzi. Tusifike huko hata kwa nini. Serikali isikubali kuondolewa heshima yake ba wahuni.
 
Watu akina nani, wako wangapi, wako wapi na mlikutana nao wapi? Tuache kuwasingizia watu ambao unafanya kazi ya kuwahamisisha ili wakuelewe unachosema. Watu wetu wengi hawaijui hata hiyo katiba yenyewe wala hiyo haki unayosema wanaikosa. Mtu mwenye maumivu haambiwi na mtu toa machozi, atalia yeye mwenyewe.

Kama hiyo haki wanaitafuta kwa kuchoma moto nchi yao basi hiyo haki sio haki bali ushetani.

Huwezi kuniambia mimi niandamane hata ikibidi kufa ili Lisu awe huru wakati watoto wake hawamo kwenye maandamano hayo hatari kwetu. Mnatuona sisi maboya? Hata akiwa huru sisi tutapata nini?
Kuandamana ni haki ya kikatiba na sheria , rudi shule punguza ujinga
 
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
PAUNGUZA CHEAP PROPAGANDA,HAKUNA SIRI YA WATU WAWILI HAPA DUNIANI,TUME YENU UCHWARA ILILETA RIPOTI,ILISEMA NINI?
 
Hakuna propaganda hapa. Hata ikitokea vita ya wenyewe kwa wwnyewe leo hapa watanzania watakwambia imeletwa na chadema kwa kushirikiana na wazungu.

Wazungu ndio wafadhili wakuu wa tz kupata tume huru ya uchaguzi, haki na demokrasia. Tangu lini wazungu wakatuonea uchungu sisi daraja la tatu kwao? Yaani sisi ni daraja la tatu kwao lakini rasilimali zetu ni daraja la kwanza kwao.

Bila kupepesa macho akina Lema Lisu na Heche tuwajadili kwa kina kama watanzania ili tuone kama wanastahili kufanya wanachokifanya.
 
Yaani wewe husikii Heche anasema nini kwenye mikutano yake mikoani.

Itakuwa ajabu kama serikali itamwachia Heche aendelee kuandaa watu wafanye mapinduzi ambayo hayatafeli kama yale ya oct29.

Silaha walilkuwa nazo, acha kabisa. Huwezi kuzima moto nchi nzima kwa wakati mmoja. Mkakati ni kupora silaha za askari na makambi.
Hamna mahali heche anahamasisha ubaya, madai mbona yako wazi, katiba lissu , kama hayo yakikwama ndio option ya maandamano itabakia

He never said wataanza na maandamano

And haja commit crime kwa namna yoyote ile
 
Hakuna propaganda hapa. Hata ikitokea vita ya wenyewe kwa wwnyewe leo hapa watanzania watakwambia imeletwa na chadema kwa kushirikiana na wazungu.

Wazungu ndio wafadhili wakuu wa tz kupata tume huru ya uchaguzi, haki na demokrasia. Tangu lini wazungu wakatuonea uchungu sisi daraja la tatu kwao? Yaani sisi ni daraja la tatu kwao lakini rasilimali zetu ni daraja la kwanza kwao.

Bila kupepesa macho akina Lema Lisu na Heche tuwajadili kwa kina kama watanzania ili tuone kama wanastahili kufanya wanachokifanya.
VITA ITALETWA NA CCM,KWA KUONGOZWA NA HILO BICHWA MAJI LENU LINALOMILIKI KICHWA NA UBONGO KUTIMIZA KUSUDI LA UUMBAJI TU,MTU ANAYEONGOZWA BADALA YA KUONGOZA NA ANATAKIWA KUONGOZA,ILE NI TAKATAKA KUWAHI KUTOKEA,YAANI MTU MWENYE WADHIFA ULE ANAONGEA UDINI,UZANZIBAR WAKE,AU NI UPWIRU WA UZEENI UNA MSUMBUA?,HOPELESS KABISA.

AMEFELI,NA MMEFELI NA CHANZO CHA YOTE NI KWA SABABU YA KUPEANA MADARAKA KWA KIGEZO CHA MAPENZI.
 
Sisi wenye maarifa tunajua kuwa kuna watu hawakutaka kabisaaa Samia aapishwe kuwa Rais baada ya Rais Magufuli kufariki. Mengine yoooote mnayosema ni porojo tu za kipuuzi. Bahati nzuri tunajua pia kwanini hawakutaka Samia awe Rais na tunajua ni akina nani wako nyuma ya hilo. Hata hawa chadema; Heche ni kama kobe tu juu ya mti.
 
Hamna mahali heche anahamasisha ubaya, madai mbona yako wazi, katiba lissu , kama hayo yakikwama ndio option ya maandamano itabakia

He never said wataanza na maandamano

And haja commit crime kwa namna yoyote ile
Katiba iko kwenye ilani ya ccm kwamba itaandikwa kwa kufuata utaratibu. Na Kesi ya Lisu iko mahamani maandamano ya nini? Katiba sio mali ya wanasiasa tu , ni yetu sote. Chadema na ukawa ndio walikwamisha upatikanaji wa katiba mpya, bado tunalikumbuka hilo.
 
Sisi wenye maarifa tunajua kuwa kuna watu hawakutaka kabisaaa Samia aapishwe kuwa Rais baada ya Rais Magufuli kufariki. Mengine yoooote mnayosema ni porojo tu za kipuuzi. Bahati nzuri tunajua pia kwanini hawakutaka Samia awe Rais na tunajua ni akina nani wako nyuma ya hilo. Hata hawa chadema; Heche ni kama kobe tu juu ya mti.
UNAWEZA UKAWA NA MAARIFA LAKINI YASIWE NA MAANA WALA MSAADA WOWOTE,WEWE NI TAKATAKA NJE YA PIPA LA TAKATAKA,TAKA NDANI YA PIPA ZINAJUA A-Z NAMNA GANI DECAY INATOKEA.

NI MPUMBAVU AMA MJINGA PEKEE ANGETAKA HUYU KISHOHIA AWE RAIS MAANA HATA UMAKAMU TU ALIHONGWA HAKUWA CHAGUO NA ALIWEKWA KIMKAKATI NA WALIOHUSIKA NA MAUAJI YA MAGUFULI,NA NDIO HAO WANAMVUTA MASIKIO ,YUPO YUPO TU KAMA ZUNDE.SHE DON'T FIT,IS A WORST PERSON EVER HAPPENED IN DA STATE,KICHWA KIBOVU,ELIMU HANA,MAARIFA HANA,EVERY THING IS HORRIBLE NDIO MAANA HAKUNA ALICHOWEZA UKIACHA KULIANGAMIZA TAIFA,HUYU HATA IPITE MIAKA 100 LAZIMA KIZAZI CHAKE KIJE KIONJE MAJUTO,KITAPIGWA KILA AINA YA REVENGE.
 
Katiba iko kwenye ilani ya ccm kwamba itaandikwa kwa kufuata utaratibu. Na Kesi ya Lisu iko mahamani maandamano ya nini? Katiba sio mali ya wanasiasa tu , ni yetu sote. Chadema na ukawa ndio walikwamisha upatikanaji wa katiba mpya, bado tunalikumbuka hilo.
JK na chama chake ndio walio kwamisha,CHADEMA na UKAWA walikuwa na mamlaka ama nguvu gani ya kukwamisha mchakato?
 
Back
Top Bottom