Mikutano ya CHADEMA nchi nzima inaboresha mapungufu ya Oct 29

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,176
Reaction score
16,864
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.

Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.

Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
 
Maaandano hawakuratibu chadema 100% , is why walikuwa ndani takriban viongoz wote

Kusema wanataka kupindua serikal ni false, unaendaje kupindua serikal huna silaha, huna plan , huna support?
 
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
 
Waue mara 3 zaidi ya walioua Oktoba 29?!
Kama kijana anachoma mali zetu sisi sote kwanini tusimnyang'anye viberiti sisi wenyewe kabla hajachoma kila kitu chetu pamoja na sisi wenyewe?
 
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Hahaha only if unaweza dhibitisha but we all know hawakuambiwa chochote, hakuna anaependa gereza tusidanganyane

Kama gov ingetaka kuwafunga vizur ingewaacha mtaani ila walikurupuka hivyo automativ ikawaosha viongoz wa chama

Narudia tena hakuna chama kinachopenda viongoz wake wafungwe, wakose ruzuku, au washindwe kufanya shughuli za kichama

Mkiendelea kukwepa mzizi wa tatizo ambao sio chadema, mtakutana na makubwa zaidi
 
Kama hujui sema tu sijui. Mkakati ulikuwa kamatweni tutawatoa baada ya kufanikisha. Baada ya kikokotoo kugoma sasa wanahangaika namna ya kuwatoa.
 
If that how serikal inawaza they lack imagination. Ilikuwa rahis sana kuwakamata kwenye act kuliko kuwakamata kabla

Ndio maana sasa hivi wanaonekana hawana hatia , wanapata publick support maana walikwua ndani, so inaonekana walionewa
 
Mimi polisi akiua ndugu yangu Mmoja Mimi nitaua Polisi Elfu Moja.

Polisi wanadhani kazi yao Kuua Raia na Sio Kulinda

PUMBAVU KABISA.
Polisi wanapewa bunduki na risasi kulinda benki ili kuua wezi. Kama umepewa bunduki na risasi ili kulinda TRA, sheli, Bank na mahakama lakini hukuitumia kulinda ili zichomwe moto na kuibiwa maana yake wewe polisi utakuwa unahusika.

Hata wakiandamana leo hii na kuanza kuchoma mali za umma na watu binafsi lazima watauliwa tena. Bahati mbaya tu ni kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa, mchungaji, sheikh, professor wala tajiri ambae aliuliwa kwenye kadhia ile; hawakushiriki kabisa. Hii inaonyesha kuwa wanasiasa na wafadhili wa vurugu walitumia watoto wa masikini, vibaka na watumia madawa kufanikisha vurugu zile huku watoto, ndugu na jamaa zao wakiwa majumbani na sehemu salama kabisa.

Vijana wetu wanahitaji elimu ya namna ya kufiri na kufikiria (tafakari).
 
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Na nyie na mkaingia mkenge wa kuwakamata na Intelijensia yenu ya mabua.
 
Na nyie na mkaingia mkenge wa kuwakamata na Intelijensia yenu ya mabua.
If that how serikal inawaza they lack imagination. Ilikuwa rahis sana kuwakamata kwenye act kuliko kuwakamata kabla

Ndio maana sasa hivi wanaonekana hawana hatia , wanapata publick support maana walikwua ndani, so inaonekana walionewa
Tusubiri matokeo ya tume ya kuchuguza jinae itoe matokeo yake kwanza. Ila wewe nakusifu sana; ni mjanja sana, hukushiriki upuuzi ule. Vinginevyo ungeuliwa pengine na wewe.
 
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.

Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.

Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
ile mikutano ya kuchangisha pesa kwaajili ya kuwasitiri viongozi wa chadema taifa au?🐒
 
Maaandano hawakuratibu chadema 100% , is why walikuwa ndani takriban viongoz wote

Kusema wanataka kupindua serikal ni false, unaendaje kupindua serikal huna silaha, huna plan , huna support?
Zanzibar Sultani alipinduliwa kwa kutumia silaha gani? Hukuona hao wahuni huko maeneo ya Kimara walikuwa wanavamia vituo vya Polisi? Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakagundua ndio wakaanza kiwarenga za kichwa!! Safari hii kama wataandamana naamini vyombo vitaanza kupiga za kichwa mapema tu.
 
ile mikutano ya kuchangisha pesa kwaajili ya kuwasitiri viongozi wa chadema taifa au?🐒
wanakusanya fedha, lakini wana agenda ya kuambiana "hamkujitokeza, mlituangusha, msifanye hivyo siku nyingine". Hesabu zilikuwa "tuikamate ofisi kwanza kisha tuwatoe "mashujaa" wetu". Hesabu zikagoma.

Wanadhani nchi hii iko wazi kiasi hicho; wakoloni (jumuiya ya ulaya) wetu hawawezi kutuamulia sisi ni tufanye na nini tusifanye kama vile sisi ambavyo hatuwezi kuwaamulia. Ni heri kuwa maskini huru kuliko kuwa tajiri mtwana. Wamalize mambo yao yanayowatafuna.

View: https://www.youtube.com/live/df2pETwJrl0?si=hlkwo1UPiwNrTwcK
 
Zanzibar Sultani alipinduliwa kwa kutumia silaha gani? Hukuona hao wahuni huko maeneo ya Kimara walikuwa wanavamia vituo vya Polisi? Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakagundua ndio wakaanza kiwarenga za kichwa!! Safari hii kama wataandamana naamini vyombo vitaanza kupiga za kichwa mapema tu.
Wanadhani watanzania ni mazuzu wa kiasi wanachodhani. Wanadhani wale wanaokuja kwenye mikutano yao wako tayari kufa kipuuzi. Wanadhani vijana hawajui kwamba watoto wa viongozi wa chadema hawakuuliwa hata mmoja kwenye maandamano yale. Wanadhani hawajui kwamba watoto wa Lissu, Lema, Heche wako wapi hivi sasa.
 
Back
Top Bottom