Mikutano ya CHADEMA nchi nzima inaboresha mapungufu ya Oct 29

Mikutano ya CHADEMA nchi nzima inaboresha mapungufu ya Oct 29

Wajinga kama
Nyie ndo manafanya CCM ionekane imejaza misukule
Yaani wewe watoto wako wako salama na kula bata Ulaya na kuitaka misukule iuliwe kwa manufaa ya watoto wenu wanaokula bata Ulaya na marekani. Unadhani watanzania ni misukule?
 
Zanzibar Sultani alipinduliwa kwa kutumia silaha gani? Hukuona hao wahuni huko maeneo ya Kimara walikuwa wanavamia vituo vya Polisi? Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakagundua ndio wakaanza kiwarenga za kichwa!! Safari hii kama wataandamana naamini vyombo vitaanza kupiga za kichwa mapema tu.
Unafananisha kupinduliwa huko nyuma na mapinduzi ya sasa? Zama mbili tofauti kabisa
 
Tusubiri matokeo ya tume ya kuchuguza jinae itoe matokeo yake kwanza. Ila wewe nakusifu sana; ni mjanja sana, hukushiriki upuuzi ule. Vinginevyo ungeuliwa pengine na wewe.
Unajuaje sikushiriki? Kwani kila alieshiriki alipinduliwa
 
Na nyie na mkaingia mkenge wa kuwakamata na Intelijensia yenu ya mabua.
Kaka ogopa sana kupanga mapinduzi yaliyofeli. Mtandao wote utakuwa wazi kama kutembea bila nguo.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Unajuaje sikushiriki? Kwani kila alieshiriki alipinduliwa
usiombe kushiriki mapinduzi yaliyofeli. Kila aliyeshiriki ambae yuko hai anajiwa na ndoto za kupandwa na fisi kila siku.
 
usiombe kushiriki mapinduzi yaliyofeli. Kila aliyeshiriki ambae yuko hai anajiwa na ndoto za kupandwa na fisi kila siku.
Haha hamna kitu kama hiko, nawajua wengi sana na wapo wanaendelea na shughuli kama kawaida
Hizo hadithi za ndoto za kizamani sana
 
Haha hamna kitu kama hiko, nawajua wengi sana na wapo wanaendelea na shughuli kama kawaida
Hizo hadithi za ndoto za kizamani sana
Subiri Tume ya Rais imalize uchunguzi wake ndio tujue kama wataendelea na shughuli zao!
 
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Mpaka sasa tunaona ya Oct 29 mzizi ni CDM hatutaki kuukubali ukweli tunafichaficha na kukwepa kuambiana kuwa viongozi walikosea?
 
Ile ya kwanza ilikuwa inafanya just identification hii ndiyo yenyewe sasa ya jinai.
As i said yatakuwa yale yale ya tume ya haki jinai, then as usual nothing kitatokea
 
TUnajua wote kuwa chadema ilitumika tu kama jukwaa, lakini hata sasa chadema inatumika tena kama jukwaa kwaajili ya maandalizi ya yajayo tena.

Chadema alikuwa mshirika/mdau muhimu tu. Ili kuwaokoa viongozi wa chadema waliiambiwa wafanye/waseme kitu kitakachosababisha wakamatwe ili waje na hoja kama hizi kuwa tulikuwa ndani buana!!.
Zanzibar wana akili kubwa! Hadi kesho wanayaenzi mapinduzi na kuyaita matukufu!
Tanganyika wao wanarubuniwa rubuniwa tu!
 
Haha hamna kitu kama hiko, nawajua wengi sana na wapo wanaendelea na shughuli kama kawaida
Hizo hadithi za ndoto za kizamani sana
tusubiri orodha yenye ushahidi ya walioshiriki itoke rasmi halafu uirudie kuisoma hii post yako.
 
Zanzibar wana akili kubwa! Hadi kesho wanayaenzi mapinduzi na kuyaita matukufu!
Tanganyika wao wanarubuniwa rubuniwa tu!
yaani unataka wanawake wakiwa na sikukuu ya wanawake na sisi wanaume tuwe na sikukuu ya wanaume?. Sioni sababu ya Tanganyika kuwa na wasisi ndani ya muungano maana itakuwa sawa na mwanaume ndani ya ngumba kudai kufanyiwa birth day kwakuwa watoto na mama yao wanafanyiwa. Mwanaume wa hivi kiafrika ana shida nyingi.
 
Back
Top Bottom