HONGERENI CHADEMA, MMEWAITA NA WAMEJAA KWENYE TARGET KWA MARA YA PILI
Haina shaka yoyote tena kuwa tishio la kuifungia CHADEMA kwa kumtumia Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Sisty Nyahoza na mamluki waliokuwa ndani ya chama kina Saidi Issa Mohamed na wenzake kwa kuitumia mahakama...
Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono.
Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
Wafuasi wa chadema mmeshasahau kuwa mlizungusha mikono nchi nzima lakini Leo hii hamna hata balozi wa nyumba 10, hiyo nafasi msahau hamtakaa mpate mbunge hata mmoja, siasa zenu za machafuko zimewatibua sana wapiga KURA.
Chadema mmetia watu hasira, mmewatia hasara, watu wamepoteza mitaji...
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.
Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.
Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na...
Hili ni suala la msingi sana ambalo linatakiwa kupatiwa majibu.
Wamepotea watu ambao kama taifa watu wanahuzuni kubwa sana. Humphrey Poleole, Azory Gwanda na wengine wengi wanahuzunisha taifa kwa kupotea kwao. Lakini hadi leo hii Polisi wapo kimya.
Jambo la ajabu kila siku wanataarifa za...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani .
Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
This thing is getting serious, mwanzo wengi walibeza kuwa no Reform No Election ni upuuzi lakini sasahivi kila mtu anajionea ilipofikia.
Kuna kamchezo watu wachache wanacheza lakini hii kete wanayosukuma haina mashiko na inaweza ikisababisha matokeo mabaya.
Badala ya mifumo inayoongoza nchi...
Kwa haya mafuriko ya wananchi kwenye mikutano ya chadema ni wazi uchaguzi ukiwa wa haki chadema itanyakua bunge zima na ikulu yote sema amina.
chadema sio tu chama cha siasa ni imani ya kidini.
Vyombo vya Ulinzi visionee aibu hawa nyang'au ambao wanajidai wanajua Kingereza huku kichwani ni empty head.
Kama jana waliweza kusafirishwa kwa Wingi kuja kisutu bila shaka watakuja sana au wanakuja sana kwenye mikutano inayoendelea.
Kamwe wasiruhusiwe kuchafua amani na kumwaga damu Tanzania.
.
Kesi ya Malaika Lissu ni ya uhaini. Kwa urahisi wa maneno ni kwa kuzuia mamlaka kuendesha uchaguzi( hisia).
Lissu akiwa bado ndani, mikutano ya Chadema inaendelea nchi nzima. Maelfu kwa malaki wameunga mkono hadharani mambo yaleyale yaliyomtia ndani Lissu na sasa anataka kushtakiwa peke...
Je,
wametambua na kujiridhisha kwamba nonsense agenda ya no reform no elections haikiki, haiuziki, haieleweki wala kutekelezeka na wananchi wanaipuuza?
Au wamebaini kua mwenyekiti wao Taifa kusota korokoroni kwasababu ya uropokaji unaokiuka sheria ni agenda isiyo na mashiko, haibambi na...
TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa, lakini mikutano ya CHADEMA inayoungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani...
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa kote Duniani hii hapa
Pichani: Heche akiwasili Ubalozi wa Vatican Nchini Tanzani kutoa Rambi rambi kufuatia kifo cha Papa Francisisko
========
Hali ndio kama mnavyoona, kama Chamazi wamekubali wewe unabisha ili iweje?
Wakuu,
Polisi na CCM mnazidi kuboronga, mmeamsha dude, hamjifunzi kila wakati mnarudia kule kule!
====
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa...
1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza imani na chama hicho.
2. Migogoro ya Kiutawala na Ugumu wa Kujenga Umoja wa Chama: Migogoro ya mara...
Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi.
Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na askari wenye silaha kwa lengo la kuzuia Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu asidanye mikutano.
Hata hivyo...
Kuelekea Siku ya vijana Duniani Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya mkutano mkubwa Jijini Mbeya, katika hali ya kushangaza Jeshi la Polisi Nchini limetangaza kuzuia Mkutano huuo Ambapo wamekuja na hoja dhaifu kua matamko ya viongozi yanaleta taharuki.
Pia...
Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Tanga.
Picha zimeonyesha hali mbaya sana kwa chama hicho nimekuletea baadhi ya Picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.