Mikoyan-Gurevich, MiG 25: Ndege vita hatari kuwahi kuundwa na muungano wa Soviet miaka ya 1970

Jiongeze wikipedia saver ipo u.s.a sidhani kweli russia wanaweza kuweka taarifa za siri kuhusu mig mtandaoni
Ngoja nikwambie kitu hypersonic misile marekani bado hawajafanikiwa vizuri wapo kwenye hatua za kati.ila wao wanavyo chambua kuhusu hypersonic misile kama wanajua kuyatengeza ulishawah kusika russia akiyaelezea?
Hahahaha....kwahyo na hiyo taarifa ya mig 25 kuangusha F-18 nayo ni ya uongo kwa kua ipo kwenye vyombo vya habari vya Marekani?!
Unasema Russia hawajawahi kuzungumzia habari za Hypersonic?! Una hakika?! Embu katafute hotuba ya Putin mwaka Jana tena ipo YouTube ambayo nayo ni mali ya Marekani.
 
Putin kasema anazo na akaonyesha animation yake.ila unakumbuka nchi za magharib zikasema mwongo hana tecnolog hiyooo
Hahahaha....kwahyo na hiyo taarifa ya mig 25 kuangusha F-18 nayo ni ya uongo kwa kua ipo kwenye vyombo vya habari vya Marekani?!
Unasema Russia hawajawahi kuzungumzia habari za Hypersonic?! Una hakika?! Embu katafute hotuba ya Putin mwaka Jana tena ipo YouTube ambayo nayo ni mali ya Marekani.
 
Dogfight kwa kiasi kikubwa sana integemea umahiri wa Rubani.Mfano rubani wa USA anaweza enda vitani na F-15 akafanya vizuri sana.Ila ndege hiyo hiyo mpe rubani wa Saudi Arabia au Iraq,Utashangaa wanaangushwa kama njiwa...
 
Mkuu upo sahihi kabisa utaalam na mazoea ya rubani katika ndege ndio unaomsaidia kupigana hata kuiendesha, mwaka 1979 uwanja wa Taifa mbele ya Kambarage jamaa wawili tuliwapoteza, km sio uzoefu ni check up na maintanance
Mada kaileta inasema ndege vita kuwahi rushwa na Mrusi ni Mig 25
niseme tu kuwa yameshatoka matoleo kibao na mchuano bado upo kwa MIG na FIGHTER
Rank No 3 kapewa Russia kwa Mikoyav MIG 31 speed 3005 km/h
Rank No 2 kapewa Israel kwa F 151 Ra'am speed 3017 km/h
Rank No 1 kapewa USA kwa F 15 E Strike Eagle speed 3017 km/h

Hii McDonnell Douglas F-15 Eagle imeonekana ni ndege nzuri sana,Hata ukisoma comments mbali mbali mitandaoni inaonekama hata Wamarekani wenyewe wanaipenda sana hii ndege. Boeing walipewa tenda kuzimodify ili ziendelee kukaa kwenye servise.Hilo tolea wanaliita F-15X.nafkir ulishaskia hii mkuu..
 
But wanasema hili toleo jipya ufanyaji wake wa kazi hauna tofauti na F-35.
 
Mkuu sorry kidogo nini tofauti mati ya
Fighter
Bomber
Interceptir na
Multrole?
Fighter- zinakua mahsusi kwa ajili ya kushambulia Ndege nyingine angani,mfano F-22 Raptor

Bomber- hizi ni kwa ajili ya mashambulizi mazito,zinabeba mzigo mkubwa wa silaha ikiwemo mabomu/makombora ya nyuklia. Mfano,B-2 spirit

Interceptor- zimetengenzwa mahsusi kwa kazi ya kutungua Ndege nyingine ikiwemo fighters,bomber au Ndege za upelelezi. Mfano wa interceptor Ni mig 25

Multirole- hizi ni kwa kushambulia ardhini na angani. Mfano; F-35 lightning II
 
But wanasema hili toleo jipya ufanyaji wake wa kazi hauna tofauti na F-35.
frankk Wanjiru upo sahihi bado, hizi ndege za F-35 ni bora kwa miaka 50 ijayo ila kuna hitilafu au mahali ziliharibu na nakumbuka USA iliziground kwa muda kutoka kampuni hilo la Lockheed Martin ni more advance kwani
1. Lockheed Martin F-35 Lightning II
United States Air Force introduced the newest fighter jet in 2015. The F-35 has three main variants, with differences in their landing capabilities. The estimated cost of the F-35 program is mind-blowing. The US government spent a whopping $1.508 trillion on the fighter jet. But on the other hand, Lockheed projects that the USAF will utilize the fighter jet until 2070. Although the F-35 has its critics, it certainly cannot be denied that it is the most advanced fighter jet currently in the air.
 
frankk Wanjiru upo sahihi bado, hizi ndege za F-35 ni bora kwa miaka 50 ijayo ila kuna hitilafu au mahali ziliharibu na nakumbuka USA iliziground kwa muda kutoka kampuni hilo la Lockheed Martin ni more advance kwani

F-35 bora miaka 50 ijayo?!!

Si ndio hizo hizo hata marubani wa US Airforce walizigomea kwamba Cockpit zake zimejazwa makorokoro mengi?

Katika ndege ambazo ni kama pesa imetumiwa bila uhalisia ndio hizo hapo, We ndege inayodaiwa iko 5th generation ila imepitwa uwezo katika maeneo mengi na baadhi ya 4th generation aircraft (SU-35 etc)
 
Mkuu upo sahihi kabisa utaalam na mazoea ya rubani katika ndege ndio unaomsaidia kupigana hata kuiendesha, mwaka 1979 uwanja wa Taifa mbele ya Kambarage jamaa wawili tuliwapoteza, km sio uzoefu ni check up na maintanance
Mada kaileta inasema ndege vita kuwahi rushwa na Mrusi ni Mig 25
niseme tu kuwa yameshatoka matoleo kibao na mchuano bado upo kwa MIG na FIGHTER
Rank No 3 kapewa Russia kwa Mikoyav MIG 31 speed 3005 km/h
Rank No 2 kapewa Israel kwa F 151 Ra'am speed 3017 km/h
Rank No 1 kapewa USA kwa F 15 E Strike Eagle speed 3017 km/h

From western media obviously.
 
Fighter- zinakua mahsusi kwa ajili ya kushambulia Ndege nyingine angani,mfano F-22 Raptor

Bomber- hizi ni kwa ajili ya mashambulizi mazito,zinabeba mzigo mkubwa wa silaha ikiwemo mabomu/makombora ya nyuklia. Mfano,B-2 spirit

Interceptor- zimetengenzwa mahsusi kwa kazi ya kutungua Ndege nyingine ikiwemo fighters,bomber au Ndege za upelelezi. Mfano wa interceptor Ni mig 25

Multirole- hizi ni kwa kushambulia ardhini na angani. Mfano; F-35 lightning II
Thanx mkuu so F-22 haiwezi kushambulia ardhini?
 
Ufafanuzi wako sijaukubali

Inaweza,Ila ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kushambulia Ndege nyingine baadae ndo wakaiongezea uwezo wa kushambulia ardhini.

F-35 ndio tangu mwanzo waliitengeneza iwe multi role
 
F-35 bora miaka 50 ijayo?!!

Si ndio hizo hizo hata marubani wa US Airforce walizigomea kwamba Cockpit zake zimejazwa makorokoro mengi?

Katika ndege ambazo ni kama pesa imetumiwa bila uhalisia ndio hizo hapo, We ndege inayodaiwa iko 5th generation ila imepitwa uwezo katika maeneo mengi na baadhi ya 4th generation aircraft (SU-35 etc)
Mpaka sasa hakuna Ndege toka taifa lingine ukiacha Marekani inaifikia F-35. Ndo maana wachina wakaamua waikopi kama ilivyo,sasa hv wamekwama kwenye engine kila wakitest inalipuka,wakaona sio taabu wakaweka engine za sukhoi yani Ndege ya 5th inawekewa engine ya 4th. Hilo joto lake sio mchezo unabaki kua target ya heat seeking missiles.

Hizo Ndege zina makorokoro mengi,mfano sasa hv wameanza kujaribu iwe inatungua makombora mpaka ya ICBM. Ila kwa upande wa Marubani ndo wanazisifia maana zimerahisishwa kila kitu wanaona kwenye screen moja hamna haja ya kuchungulia kwenye Kioo kama ilivyo kwa zile 4th gen.

Hizo Ndege zinaweza kutrack makombora na kutuma taarifa kwenye meli au mitambo ya ardhini ya kutungua makombora.

Jiulize kwanini nchi nyingi zinaitaka na nyingine zinakataliwa,mfano hapa juzi Poland kapeleka ombi kwa Marekani wanataka wanunue. Taiwan ilizihitaji lakini Marekani imewakatalia.Japan katoa Oda ya kuongeza nyingine Mia moja kutokana na kuongezeka kwa uchokozi wa China.

Hiyo Su 35 labda imeipita F-35 upande wa maneuverability ambayo ni muhimu kwenye dogfight lakini hiyo ishapitwa na wakati kwa sasa, teknolojia imekua. Kwa sasa tupo kwenye zama za Beyond Visual Range missiles (BVR) yani haina ulazima wa kuonana ndo mlipuane.
 
Back
Top Bottom