Raphael phockus
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 778
- 4,518
- Thread starter
- #101
Jiongeze wikipedia saver ipo u.s.a sidhani kweli russia wanaweza kuweka taarifa za siri kuhusu mig mtandaoni
Ngoja nikwambie kitu hypersonic misile marekani bado hawajafanikiwa vizuri wapo kwenye hatua za kati.ila wao wanavyo chambua kuhusu hypersonic misile kama wanajua kuyatengeza ulishawah kusika russia akiyaelezea?
Kwani hizo savior ziliwekwa na Soviet au wachambuzi.?