Mikoyan-Gurevich, MiG 25: Ndege vita hatari kuwahi kuundwa na muungano wa Soviet miaka ya 1970

kuweni wazalendo. ongeleeni zetu, kwanini mbishane kwa mali za jirani hali hazitusaidii chochote!

yaone kwanza!

(kidding/natania)
 
1.Fighter aircraft.. Hii inakuwa kwa mashambulizi ya angani air to air..au dog fight
2.Bomber..hizi kwa ajili ya mashambulizi ya chini mara nyingi huwa wanatumia kuharibu viwanda na maghara ya silaha huwa mara nyingi huwa hazina sehemu ya kuweka misile ya air to air zinakuwa na mabom madogo madogo
3.interceptor..hizi ni ndege maalum kwa ajili kushambulia ndege za uchuguzi,za ujasusi,ndege za kumwaga mabom (bomber)
Na zinakuwa na speed sana mfano mmoja wapo mig 25, au mig31
4.reconnaissance aircraft.hizi ni ndege za uchunguzi,kupiga picha sehemu za maadui na zina speed na huwezi kuziangusha kirahisi zinatoka nduki sana mfano usaf-sr7
5.maltirole. hizi zinauwezo wa kufanya mambo yote manne au matatu ya hayo..bomber,interceptor?dog fight?reconnaissance.f 35 haina sifa ya kuwa bomber..inafanya mambo matatu tu
 
Mpaka sasa hakuna Ndege toka taifa lingine ukiacha Marekani inaifikia F-35. Ndo maana wachina wakaamua wakaikopi kama ilivyo,sasa hv wamekwama kwenye engine kila wakitest inalipuka,wakaona sio taabu wakaweka engine za sukhoi yani Ndege ya 5th inawekewa engine ya 4th. Hilo joto lake sio mchezo unabaki kua target ya heat seeking missiles.

Hizo Ndege zina makorokoro mengi,mfano sasa hv wameanza kujaribu iwe inatungua makombora mpaka ya ICBM. Ila kwa upande wa Marubani ndo wanazisifia maana zimerahisishwa kila kitu wanaona kwenye screen moja hamna haja ya kuchungulia kwenye Kioo kama ilivyo kwa zile 4th gen.

Hizo Ndege zinaweza kutrack makombora na kutuma taarifa kwenye meli au mitambo ya ardhini ya kutungua makombora.

Jiulize kwanini mhi nyingi zinaitaka na nyingine zinakataliwa,mfano hapa juzi Poland kapeleka ombi kwa Marekani wanataka wanunue. Taiwan ilizihitaji lakini Marekani imewakatalia.Japan katoa Oda ya kuongeza nyingine Mia moja kutokana na kuongezeka kwa uchokozi wa China.

Hiyo Su 35 labda imeipita F-35 upande wa maneuverability ambayo ni muhimu kwenye dogfight lakini hiyo ishapitwa na wakati kwa sasa, teknolojia imekua. Kwa sasa tupo kwenye zama za Beyond Visual Range missiles (BVR) yani haina ulazima wa kuonana ndo mlipuane.

F-35 my foot!

F-35 iliyopitwa service ceiling,Speed etc na Su-35 ambayo ni fourth gen?

Su-35 ni 4th generation ila speed,service ceiling hajapitwa na F-35 wala F-22 ambazo zipo 5th gen
 
Ingekua speed ni kigezo Mig 25 isingekua inatunguliwa ovyo na F-15

Na juzi Mig za India zilitunguliwa na F-16 za Pakistan
 
Mpaka sasa hakuna Ndege toka taifa lingine ukiacha Marekani inaifikia F-35. Ndo maana wachina wakaamua wakaikopi kama ilivyo,sasa hv wamekwama kwenye engine kila wakitest inalipuka,wakaona sio taabu wakaweka engine za sukhoi yani Ndege ya 5th inawekewa engine ya 4th. Hilo joto lake sio mchezo unabaki kua target ya heat seeking missiles.

Hizo Ndege zina makorokoro mengi,mfano sasa hv wameanza kujaribu iwe inatungua makombora mpaka ya ICBM. Ila kwa upande wa Marubani ndo wanazisifia maana zimerahisishwa kila kitu wanaona kwenye screen moja hamna haja ya kuchungulia kwenye Kioo kama ilivyo kwa zile 4th gen.

Hizo Ndege zinaweza kutrack makombora na kutuma taarifa kwenye meli au mitambo ya ardhini ya kutungua makombora.

Jiulize kwanini mhi nyingi zinaitaka na nyingine zinakataliwa,mfano hapa juzi Poland kapeleka ombi kwa Marekani wanataka wanunue. Taiwan ilizihitaji lakini Marekani imewakatalia.Japan katoa Oda ya kuongeza nyingine Mia moja kutokana na kuongezeka kwa uchokozi wa China.

Hiyo Su 35 labda imeipita F-35 upande wa maneuverability ambayo ni muhimu kwenye dogfight lakini hiyo ishapitwa na wakati kwa sasa, teknolojia imekua. Kwa sasa tupo kwenye zama za Beyond Visual Range missiles (BVR) yani haina ulazima wa kuonana ndo mlipuane.
Nitajie mission zilizofanywa na f35?
Ni ndege kwa ajili ya show to na kutishana si kwa ajili ya kazi.si umesikaa ya japani ilivyozama baharini?
Tangu waingize sokoni 1996 hawazitumii
Israel kaitumia mara 1.imewaka moto hawajatumia tena wanatumia hizi hizi f 16
 
Duh,mahaba niteketeze haya
 
Ingekua speed ni kigezo Mig 25 isingekua inatunguliwa ovyo na F-15

Na juzi Mig za India zilitunguliwa na F-16 za Pakistan

Mhhh!!! Wewe Ze kokuyo unavutia kwako mpaka unapitiliza

Kweli Speed katika warplanes haina edge kweli? Mzee mbona unataka kunifukuza kwenye hii discussion
 
Sio kwamba navutia kwangu Ila nakueleza hali halisi

Sijasema haina edge ila sio kigezo tosha Cha kudetermine ubora wa ndege Vita fulani
Ukizungumzia speed hakuna nchi iliyokua na ndege zenye speed kama Marekani tukianza na SR-71 na nyinginezo

Ndo maana pale mwanzoni nikasema na ujuzi wa marubani pia unachangia
 
Nitajie mission zilizofanywa na f35?
Ni ndege kwa ajili ya show to na kutishana si kwa ajili ya kazi.si umesikaa ya japani ilivyozama baharini?
Tangu waingize sokoni 1996 hawazitumii
Israel kaitumia mara 1.imewaka moto hawajatumia tena wanatumia hizi hizi f 16
Mkuu nani kakuongopea?!
 
https://sputniknews.com/world/201805221064672806-israel-air-force-f35/

https://defence-blog.com/news/sourc...se-made-radar-during-airstrikes-in-syria.html

The source claims that F-35i Adir fighter jet of the Israeli Air Force has destroyed Chinese design JY-27 radar of the Syrian Air Defense near Damascus International Airport on 20 January.

The JY-27 radar of the Chinese manufacturer CETC is a fully solid-state and fully coherent long-range early warning system. It is designed and developed to provide early warning information and detect low-observable air targets in so-called “Stealth technology”, included F-35 and F-22 fighter aircraft. Besides, it provides the early warning information for weapons system as well

The JY-27, which has a range of 390km, was designed and developed to provide early warning information and detect low-observable air targets. It is also capable of providing information for weapons system. The SyAADF operates many radars of this type throughout Syria.
 
1.Fighter aircraft.. Hii inakuwa kwa mashambulizi ya angani air to air..au dog fight
2.Bomber..hizi kwa ajili ya mashambulizi ya chini mara nyingi huwa wanatumia kuharibu viwanda na maghara ya silaha huwa mara nyingi huwa hazina sehemu ya kuweka misile ya air to air zinakuwa na mabom madogo madogo
3.interceptor..hizi ni ndege maalum kwa ajili kushambulia ndege za uchuguzi,za ujasusi,ndege za kumwaga mabom (bomber)
Na zinakuwa na speed sana mfano mmoja wapo mig 25, au mig31
4.reconnaissance aircraft.hizi ni ndege za uchunguzi,kupiga picha sehemu za maadui na zina speed na huwezi kuziangusha kirahisi zinatoka nduki sana mfano usaf-sr7
5.maltirole. hizi zinauwezo wa kufanya mambo yote manne au matatu ya hayo..bomber,interceptor?dog fight?reconnaissance.f 35 haina sifa ya kuwa bomber..inafanya mambo matatu tu
Sasa ulichoeleza kina tofauti gani na nilichoeleza?!
 
https://sputniknews.com/world/201805221064672806-israel-air-force-f35/

https://defence-blog.com/news/sourc...se-made-radar-during-airstrikes-in-syria.html

The source claims that F-35i Adir fighter jet of the Israeli Air Force has destroyed Chinese design JY-27 radar of the Syrian Air Defense near Damascus International Airport on 20 January.

The JY-27 radar of the Chinese manufacturer CETC is a fully solid-state and fully coherent long-range early warning system. It is designed and developed to provide early warning information and detect low-observable air targets in so-called “Stealth technology”, included F-35 and F-22 fighter aircraft. Besides, it provides the early warning information for weapons system as well

The JY-27, which has a range of 390km, was designed and developed to provide early warning information and detect low-observable air targets. It is also capable of providing information for weapons system. The SyAADF operates many radars of this type throughout Syria.
Ndege imetoka 1996
Mision ya kwanza 2018 unapata picha gani
Usa aliezitengeneza hatumiii..
Hiii ni ndege ya matangazo ni ni gharama kuzi maintain
Helment yake si mchezo hata tukipewa bure nchi maskini kama sisi hatuwezi kuzitumia
 
Hivi unadhani silaha zinaudwa wiki moja kama baiskeli?! Ni mchakato mrefu unaohitaji wataalamu na pesa nyingi. Hiyo miaka unayozungumzia ilikua ni miaka Marekani ilitangaza tenda na Lockeheed ndo ikaishinda kutengeneza F-35.

Baada ya hapo wakaja na prototype wakawapelekea serikali,serikali ikaikubali baada ya kuona imekidhi vigezo vyao.

Baada ya hapo serikali ikatoa tenda, na mchakato wa kutengezwa ndo ukaanza. Usidhani ni mchakato kama wa kuagiza gari toka Japan

Pia huu mradi ni wa nchi nyingi ukiongozwa na Marekani,na wanunuzi wanaongezeka kila kukicha!

Mwaka 2025 Bei ya Ndege hizi inatarajiwa kushuka Hadi kufikia $80ml ambayo itakua ni nafuu kushinda 4th gen
 
Ndege imetoka 1996
Mision ya kwanza 2018 unapata picha gani
Usa aliezitengeneza hatumiii..
Hiii ni ndege ya matangazo ni ni gharama kuzi maintain
Helment yake si mchezo hata tukipewa bure nchi maskini kama sisi hatuwezi kuzitumia
WASHINGTON (Reuters) - The United States used an F-35 jet against a Taliban target in Afghanistan earlier on Thursday, marking the first U.S. combat use of the stealthy plane, a U.S. official said.

The official, speaking on the condition of anonymity, said the F-35B jet took off from the USS Essex amphibious assault ship in the Arabian Sea.

https://www.reuters.com/article/us-...-combat-for-first-time-official-idUSKCN1M72BT
 
Lockheed Martin ndio waliotengeza f 35 baada iliyekwanza f22 kuwa pambo tu..makampuni ya kimarekani wapiga deal hao hao ndio wanasababisha vita duniani haziishi ili mradi wapige hela.
F 22 ndio product ya kwanza baada ya gharama kuwa kubwa ndio wakatoa mbadala f35 ii.kwa ajili ya kuuza nje ya nchi
 
Back
Top Bottom